Inaonekana mwalimu wako aliyekufundisha ni Nepi. Halafu una chuki binafsi dhidi ya Lowassa. Shule za kata zimetelekezwa baada ya Lowassa kuachia ngazi.
Acha ujinga wewe.
Alipoondoka Lowasa hakuondoka na serikali nzima ya CCM, hakuna officer hata mmoja kwenye ofisi ya waziri mkuu wala ofisi ya wizara ya elimu aliyeondoka na lowasa, kwa nini project nzuri kama ile ifail namna hii eti kwa sababu lowasa kaondoka, jibu ni kwamba, hakukuwa na proper strategic plan ya kuimplement hiyo project sustainably tena nakosea, hazijawahi kuwapo mipango wala nia ya kufanya kitu kama kile kwenye serikali nzima kuanzia kwa makatibu kata mpaka kwa Jakaya mwenyewe.
Mnazunguka kama hayawani kuwadaa watanzania na vitu visivyo namsingi kwamba Lowasa ana mtandao mkubwa ndani ya CHAMA na serikali, who cares, by the way, kama angekuwa na influence ndani ya serikali ni kwanini viongozi waserikali wanaomuamini hawakusimamia mradi huu kama ulikuwa ni attainable and progressive, why? okay, tuseme ilikuwa ni project ya kisiasa zaidi, wako wapi hao wanamtandao alionao ndani ya CCM kuuendeleza mradi huu, hakuna anayemuamini, ni mla rushwa, mwizi na muhujumu wa uchumi hilo ndio jina lake toka akiwa mdogo enzi za mwalimu.
Nikuulize swali, kwanza inaonekana wewe ni mdogo wake na SIOLEWI, tuache hayo kwanza, nijibu swali, kama Lowasa anaamini kwamba alichokuwa anakifanya ni sahihi ni kwanini asizunguke nchi nzima na kugawa milioni sitini sitini kukamilisha ujenzi wa yale madarasa badala yake anazigawa kujenga makanisa?
Kilichotokea manywele aliamuka, kama kichaa akisaidiwa na nguvu ya madaraka na kuanza kufanya mambo ambayo hata yeye hayaelewi, si amenza kujizungumzisha siku za karibuni, muambieni atueleze ni kwa nini serikali hii imeshindwa kusimamia mradi ule mbona anajua kuelezea time bomb la ajira.
Yeye ndio ametengeneza time bomb kwa kuwadaa wadogo na watoto wetu kwamba wanapata elimu ya kata itakayowasaidia wakati anajua kabisa amewaingiza chaka.
Yes, yuko sawa kabisa, AJIRA NI BOMU LINALOSUBIRI KULIPUKA, SABABU ANAJUA ALIVYOLITEGA.