Edward Lowassa special thread

Wananchi ndio watakaotafuta mabadiliko nje ya CCM,Lowassa ana tafuta urais na si mabadiliko.
 
Kwa umri wake,

Afya yake,

na viwango vya anavyokimbizana nao,

ni heri tu akapumzika kwa amani.
 
Nilimchukia sana huyu fisadi, nikasema hili na lile lakini nilipata majibu ya kunikebehi sana , namshukuru Mungu amewaaibisha wote.Lowassa hakatwi, hakuna kama Lowassa, alisema atakuwa rais, hakuna wa kumkata.Hayo ni baadhi ya maneno niliyokutana nayo kwenye mada zangu mbele ya Muumba pale nilipoonesha hisia zangu juu ya mtu huyu.Sasa Lowassa ameenguliwa wale mliokuwa mnaamini haiwezekani poleni au tufurahi pamoja kama mliamini hivyo kwa kuwa ni fisadi.Poleni sana tena sana wote mliokuwa mnasema "HAKUNA KAMA LOWASSA" jambo moja tu , kama uko ndani ya CCM mfuate Lowassa atakakokwenda na kama wewe uko je ya CCM, muombe Lowassa aje achukue nafasi ya mliyekuwa mmemuandaa kupambana na CCM maana "HAKUNA KAMA LOWASSA".
Asante Mungu, umesikia kilio cha Watanzania wapinga dhuluma, watanzania wasio na imani na LOWASSA, ROSTAM AZIZ, EMMANUEL NCHIMBI, SOFIA SIMBA, KINGUNGE NGOMBALE MWIRU na wengine kama hao.
 
Money can't buy life. Bob Marley. May 1981. Miami, USA.
 
Hahahaaaa! Na walikuwa wanakera sio siri, ukiwauliza kwanini tumchague Lowassa kuwa rais wetu?(if akipitishwa na ccm) hata hawana majibu yenye mashiko wanajiumauma tuuuu, afadhali kwakweli.
Yaani nimefurahi kweli maana walikua wananikera kupita Watu hata hawajiongezi unahongwa ili ushabikie unakubali nikajua wengi hawaipendi hii nchi wanapenda vijimaslahi vyao vya muda mfupi hureeeeeeeerrr Dr. Slaa chukua nchi mafisadi yanyongelewe mbali
 
Kama mnavyojua ndugu zangu bosi wetu baada ya kukatwa tunaomba muwe wavumilivu kwa kipindi hichi najua mmeumia saana ila kuna maombi kutoka kwangu kuja kwenu maombi haya yemekuja muda mbaya kwenu ila mzuri kwa wengine si mnajua sikukuu inakaribia ??

Maombi yenyewe kama haya
1)Vile vigroup vyenu vya whatsapp vya team lowassa naomba admins mvifute kama wewe ni member please left the group hakuna mtakalofanya sana sana mtazungumzia kuhusu mpira na mtarudishiana machungu coz group litapooza na utapoangalia jina la group utamkumbuka jamaa


2)4U movement huu ndio mwisho wake we naniliu kama kuna chenji imebaki hebu mrudishie mwenyewe japo anywe maji japo inauma ila hela itamtia faraja

3)Kama una t-shirt yako imeandikwa teamLowassa naomba uichome moto ili usijeona aibu kama nilivyokua naona mimi mkizivaa huku nikiwa najua jamaa lazima akatwe

4)Jamani kwa wote waliokula hela ya mamvi au unamjua aliyekula hela mwambie arudishe kama ulijenga uza nyumba urudishe hela kama ulinunua gari liuze tu usione aibu wale jamaa waliobandika sticker za mamvi kwenye magari yao wazitoe tu kisha warudishe hela kwa mamvi hata kama ulihonga kamdai huyo mchepuko hela yako jamani hela mliokula mmeila bila ya kazi maandiko yanasema asiyefanya kazi na asile na hiyo hela mmekula bila sababu maana yake mmeiba mmedhurumu naomba mrudishe tu mara moja

nakala kwa Pasco
nakala kwa Ocampor four
nakala kwa TeamLowassa

TUKUMBUKE AKUFAAYE KWA DHIKI NDIYE RAFIKI
 
Last edited by a moderator:
Yaani kama naona jinsi Pasco wa JF anavyohangaika huko kupata uhakika wa huu mshituko
 
Kwa umri wake,

Afya yake,

na viwango vya anavyokimbizana nao,

ni heri tu akapumzika kwa amani.

this is true,lakini unakuwa umewatukana mwandosya na jaji ramadhani kwa kuwapitisha makamba,migiro na membe.Hao hawafai hata uwaziri ila kwenye serikali isiyo makini ya jk walipeta na wanaendelea kupeta.
 
Hata wewe ulikuwa team lowasa, umeasi tu baada ya kusikia Tetesi......, simama imara!
 
Naenda Bar mapemaa kusherehekea, CCM bora hata tungesimamisha jiwe siyo huyu shetwain lenye nyoka hatari sana kwa taifa akina Rostam, Chenge, Karamgagi......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…