Hahahahaahahaha kwiwkiwikwi hahahaha aseee ni hatareeeee wapo waloikuwa hawajalipwa hapo bila shaka, sasa kiyama yao ndo hiyo imefika, kibarua tena kwishney boss wao hana kazi tena
Wewe utakuwa miongoni mwa wale ambao hamjalipwa na Team sasa naona umeamua tu liwalo na liwe unajitolea tuu lkn unajitolea kwa nani maana kama boss wako safari imeishia njiani.