Kwa habari zi sizo rasimi M/kiti ameonekana mkingia kifua Edward Lowassa wale waliokuwa wakisema kwa dhiaka juu ya EL nasikia wameufyata!hili hali M/kiti akiwa mbogo kwa kila mtu!
Waliotegemea kumchekea waishia kununa!
Huwezi hukumu mtu kwa ushahidi wa jf mkuu, mie leo mkinipa ushahidi wa ufisadi wa Lowassa naacha kumuunga mkono, kila siku tunaomba ushahidi hapa mnaishia kutukana tu, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Urais ni taasisi kubwa sana ambayo inahitaji zaidi mtu mwenye upeo na maono ya kuibeba, na CCM inahitaji mwenyekiti shupavu ili kuendelea kuing'arisha Chama, LOWASSA ndiyee pekee
CCM ni wahuni sana, wanajua kuna uhuni utafanyika kwenye Vikao vya chama ndo mana wakaona Rais ahutubie Bunge kabisa kwa kuwa kuna uwezekano hali itachafuka hivyo Wabunge wengi kumsusia kwa hasira ya Mgombea wao kutotendewa haki kwenye CC