Edward Lowassa special thread

Eti Watz wote kwa ujumla hakuna Mtanzania mwenye akili timamu akamshabikia fisadi, sema wasakatonge wenzako ndio wawe na utulivu.
 

We kweli kichwa maji. Huwezi tumia historical data kufanya maamuzi nyrti kama hayo. Afu ujue kuwa ukawa hawawezi kumchukuwa fisadi huyo.
 
.. Kasha kwatwa, vaeni tu !

Maamuzi ya kukatwa nama kutokukatwa kutolewa kwa utaratibu wa vikao na vikao hivyo vya maamuzi bado havijaanza, nasikitika sana kusema kuwa uelewa aidha kwa ushabiki wako ni mdogo, LOWASSA ndiye chaguo la watu na watu hao wameshapaaza sauti ya kumhitaji, poleni sana wanafiki
 

Hapo kwenye bold hapo.... We unamshabikia Nani?
 
Mbona hizo "U" hakuna UADILIFU? Ningeshangaa kama kwa Lowassa Uadilifu ungekuwepo.
 

Umenena vizuri sana
 
Akili yangu yaniambia mapema kabisa EL kashakatwa.
 
Mmmh. hawa wote ni story tu subirini mwisho wa goli la mkono
 
Wajumbe wote wa vikao vya Maamuzi kwa kutii na kufuata kanuni za chama kufanya maamuzi kwa Utulivu maana ule wakati mabadiliko uliotabiriwa na Baba wa Taifa kuwa ukifika Basi mabadiliko tutayapata ndani ya CCM na tukikosa tutayapata nje ya ccm lakini ipo nafasi kubwa sana ya kuyapata Mabadiliko haya ndani ya CCM chini ya Balozi wetu wa 4u movement Mh Edward Lowassa.

naamini sasa eddo akikatwa atahama chama ninakila sababu ya kuamini hivyo
 
Movement ya majambazi na mkikamatwa mpigwe adi kufa mafisadi wakubwa
 
wanafanya nini wote hao 3600 Dodoma hawana kazi za kufanya huko makwao
 
Njaa itawapeleka pabaya nyie ndomana mna mitumbo mikubwaaa kama pipa.. budget
 
Last edited by a moderator:
Alafu unajiita mwanaume wakati hats kujisimamia hauwezi, njaa mbaya sana
 


kweli kabisa na ninaamini kuwa JK na Lowasa wata compromise kama kweli kuna tofauti kati yao, japo binafsi naona wanayofanya ni mbinu yao ili waonekane hawapatani mbele ya jamii lakini akili ni mkichwa.
Kwa wanaofuatilia siasa za nchi hii waangalie wahasimu Karume Jr na Komando, unafahamu Karume alimfanya nini Komando? Fuatilia, lakini mambo yalienda kimya kimya kifo cha kondoo na wala siyo ya mbuzi kama wa bara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…