Cybercrime
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 3,246
- 1,113
Unaota ndoto ya mchana siyo?Salute sana kwa wananchi....!!!
Mzee wenu kipenzi soon atawaponya nyoyo zenu... CCM will never makes mistake hii ya ajabu...!!!
Lowassa anaongoza kila kona, kwa kila kitu kuhusu URAIS wa Tz kwa sasa...!!!
CCM msi test sumu kwa kulamba...!!
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Kwangu kutofautiana huku ambako Mwalimu hakuyumba wala kupepesuka kunaashiria kambi mbili tofauti za manabii hawa. ASILI YA ATOKAKO NABII JKNyerere ni tofauti na kinyume kabisa na ASILI YA ATOKAKO NABII ENLowassa.
Wote wanujasiri wa kutisha.
Niseme hivi:
Nabii Edward Ngoya Lowasa yupo kukamilisha na kukomaza mbegu aliyoiotesha na kuipanda Nabii Julius Kambarage Nyerere.
.
misuguano kakusugua weweee...!!?
Apumzike alisema kachoka baada ya kukusugua..!?
Wananchi ndio waamuzi kupitia box la kura sio ww, wengi wape, usipo wapa watachukua kwa mikono yaoooooo...!!!
Mamaeeee
Tafuta YouTube Kuna clip ya jamaa mmoja Hivi mfupi mwenye changamoto ya miguu namnukuu akisema "Nasikia wanataka kumkata lowassa jina kubabake hatutokubali......." itafute Facebook au YouTube.
MWAMBIE MJINGA WAKO MBOWE ACT ni mchezo mwingine akomae na ccm na fuata upepo wakehivi kwa wale wafuasi wa lowassa ikiwa huyu ndugu yenu atakatwa mmejiandaa kwa lipi????kupinga mchakato ulivyoenda?kuhamia ACT WAZALENDO/WASALITI?kuanzusha fujo??au kukubali matokeo??taarifa za uhakika ni kwamba ATAKATWA NA NCHI ITATAWALIWA NA UKAWA. Maoni yangu yaheshimiwe tafadhali
hivi kwa wale wafuasi wa lowassa ikiwa huyu ndugu yenu atakatwa mmejiandaa kwa lipi????
kupinga mchakato ulivyoenda?
kuhamia ACT WAZALENDO/WASALITI?
kuanzusha fujo??
au kukubali matokeo??
taarifa za uhakika ni kwamba ATAKATWA NA NCHI ITATAWALIWA NA UKAWA. Maoni yangu yaheshimiwe tafadhali
MWAMBIE MJINGA WAKO MBOWE ACT ni mchezo mwingine akomae na ccm na fuata upepo wake
ATAKATWA nn Mkuu,mana naskia atakatwa atakatwa ila sielewi atakatwa nn??
MWAMBIE MJINGA WAKO MBOWE ACT ni mchezo mwingine akomae na ccm na fuata upepo wake