Edward Lowassa special thread

Haya maji na bora myataje in full
mtaanza kutukana tu mwishowe
 

Umeeandika upuuzi mtupu.Majambazi yanagombana yenyewe
 
Mako ndo nn ss??? Ustuvuruge... Huyo lowasa nae kumbe bd anapganiwa tuu hm?? Tr 12 ANAKATWAAAAS
 
Edward Ngoyai Lowassa namfananisha na John F Kennedy maana hakuna Rais wa Marekani aliekuwa anapendwa na Wamarekani kama John Kennedy, hata Obama haoni ndani. Lowassa anapendwa na Watanzania mwenyewe anapenda kusema mahaba

enhee halafu nini tena mkuu nakusikia..
 
Haya maji na bora myataje in full
mtaanza kutukana tu mwishowe

Mkuu nilikujibu swali lako LA 5 bora ila naona Uzi ule umenyofolewa,ni hawa

1:Mzee Augustino Ramadhani-uzanzibari/ukristo

2:Mizengo Pinda- u current pm

3😀r.Malecela - uanamke wake

4:Steve Wassira - kumsaidia mteule kwa kura zake NEC,wassira ndio mjumbe Wa NEC alieongoza kwa kura kitaifa kwenye kundi LA kifo LA viti 20 bara alilolikacha lowassa na kwenda kubanana na vitoto Kwenye ujumbe Wa NEC kuwakilisha wilaya!

5:Januari makamba- nae pia ataingizwa ili kumsaidia mteule kwenye nec kutokana na tofauti na wengi tunavyomchukulia januari ana mtandao mpana NEC na hasa general assembly uliotengenezwa na babaake alipokua katibu mkuu ccm ndio mana haikushangaza januari ambae was a new one ccm kuthubutu kugombea u NEC taifa kupitia kwenye kapu LA viti 20 vya bara kundi LA kifo na kufanikiwa kupata kiti kimoja Kati ya 20 tena kwa kushika nafasi ya pili kwa kura nyuma ya wassira na mbele ya membe.

Member haiingii tano bora but chances ni kwamba atakua mgombea mwenza Wa mteule that is the reason hagombei tena ubunge!
 


Magufuli na Mwandosya?
Asha migiro?
 

Porojo
 
CCM wakimpitisha Jaji Ramadhani, Dr. Migiro atafanywa mgombea mwenza kama sio PM!. Dr. Mwele atapewa ubunge wa kuteuliwa na kupewa wizara ya Afya!. Membe ataachiwa kwenda kushughulikia hoteli yake na viwanda vyake!, Mtoto wa Mkulima, atarudia jembe lake na asali yake!.

Hayo yatafanyika only if 'mtu wa watu' akikatwa na akakubali kukatika!, mpango mzima ni asikatwe, na akikatwa asikubali kukatika bali naye akate, tumuingize ikulu mtu wetu!.

Pasco
 
4 U MOVEMENT LOWASA HATAWASAHAU KWA MIKONO YENU:

Naendelea;


Taasisi ya 4 u movement imekuwa taasisi mtambuka kwa kuwa nguzo mama ya kusawishi(convincing power) kwa watanzania kuumunga mkono Edward Lowasa kutimiza safari ya matumaini ya watanzania, kimantiki taasisi hii ambayo imeundwa na jopo la vijana na wazee wenye muono sawia kwa mlengo kuwahamsha watanzania kuhusu hatma yao ya miaka ya baadaye kwa taifa lao kwenye masuala muhimu kama uchumi bora, siasa safi, jamii endelevu yenye demokrasia ya kweli , Uhuru Wa vyombo vya habari n.k ndio kazi ya 4 u movement kuivuta kwa ulimbo Wa kumpa joto Lowasa ayatimize aghalabu kwa milongo kadhaa.


Lowasa ametambua sana kazi kubwa inayofanywa na vijana Wa 4 u movement kwa utonafsi Wa dhamira njema, nia mbadala, uzalendo Wa kimkakati, ndio vijana wanavunja kazi zao na kuyafanya yawapasayo kufanya kwa uzalendo(patriotism) ya nchi yao.


Mosi harakati zozote zenye kujitoa kwa msukumo Wa mtu binafsi bila msukumo Wa shekeli(pesa) zinafanikiwa sana na hapa ndio maana 4 u movement imekuwa na imejengwa kwenye msingi Wa kujitolea zaidi pasi msukumo Wa mlungula, na wabobezi na wachambuzi wengi sana Wa masuala ya siasa wanasema ukiona harakati yoyote inayofanyw na vijana asilimia 100% inafanikiwa. 4 u movement mtaweka historia kubwa kwenye vibao vya mioyo ya watanzania kwa miaka hamisini ijayo kwa kuwapatia Kiongozi bora Edward Lowasa mbeba maono.

Mathalani katika kusaka wadhamini, kutangaza nia ya urais, kurudisha fomu ya urais comrade Lowasa siku zote yupo sambamba na wanaharakati Wa 4 u movement na amekuwa akisisitiza nanukuu "HAWA VIJANA WAMEKUWA WAKIFANYA KAZI NZURI HAWAGOMBANI NA MTU" sasa twende pamoja chukua neno baada ya neno ,mmaranguoriginal nachukua "KAZI NZURI"(GOOD JOB) kimsingi kazi nzuri 4 u movement tunayofanya ambayo Lowasa anaijua ni kupigania Kiongozi bora kwa maslahi ya watanzania, kupigania raslimali zetu kama madini, gesi, Mali asili nk haya yote mnufaikaji ni mwananchi Wa Tanzania aishie kijijini na mijini, maisha ya watanzania yamekuwa kama usingizi Wa pono yaani afadhali ya jana kuliko ya Leo , ndio maana 4 u movement itadumu miaka zaidi ya 50 na makaburi yetu hayatapigwa mawe tena maana

4 u movement kazi ingali tunaimaliza kwa Lowasa kutosahau mikono yenu ya kiharakati ilipogusa kwenye shughuli zote za kwake.

Nitaendelea.


4 u movement Arusha.
 

Kwa taarifa yako wakati EL akisoma Ilboru sec, haikuwa vipaji maalum, ilikuwa tu ni sec ya serikali ya kawaida, vipaji maalum imekuja baadae miaka ya 80's usitudanganye hapa
 

Hahahahaaaaaa, mimecheka sn Pasco ulivyomalizia hoja yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…