Edward Lowassa special thread

Ungesema kabisa unataka cheo gani, je u-DC, u-RC, Ukurugenzi, mnikulu wake au Ukatibu wa Bunge au Ukatibu wa CCM wilayani?
 
kutokana na spidi aliyonayo huyu "mchukia umaskini"ni wazi anachukua nchi.kumzuia haiwezekani,so naomba anayeweza kuniunganisha na mtandao wake anisaidie ili baada ya uchaguzi nami niwe pema peponi.

mtafute " think tank " wake mzee apson mwang'onda au chief wake wa ulinzi wake mzee tendewa watakukutanisha nae au kama huna haraka sana vuta subira hadi baada ya tarehe 12 july 2015 utakwenda kumwona vizuri huku ukimpa pole na pengine hata kumpelekea na dawa za kutibu moyo na vidonda vya tumbo kutokana na dhahama kubwa itakayomtokea hiyo tarehe niliyokutajia hapo juu.
 
Njoo Monduli.......wote tupo huku.......

Kumbe sikukosea, ni wewe ulipita pale Oldonyo Sambu juzi ulikuwa umetilia suruali nyeusi na shati la Yanga ? Uongo mwaya ulitokelezea. Mlikuwa mnaenda wapi kule?
 
kutokana na spidi aliyonayo huyu "mchukia umaskini"ni wazi anachukua nchi.kumzuia haiwezekani,so naomba anayeweza kuniunganisha na mtandao wake anisaidie ili baada ya uchaguzi nami niwe pema peponi.

Sifa ya Udokozi Unayo?

Benitto.
 
Lakini si wanadai urafiki wao na Mkulu hawajakutana Barabarani au??inawezekana kweli kutosana istoshe Mkulu mwenyewe ni mtu wa kulipa fadhila??enewei,time will tell wacha tuvute Subra!
 
Watu wameanza nae 'mchukia umaskini' wakati wa huzuni, Majonzi, Upweke wamevuka salama sasa wanakaribia kufika Ufukweni ndo unataka kuleta Ubaharia wako wa kuleta kujipendekeza,Endelea na Mgombea wako huyo Mchukia umaskini nafasi zote za Upambe zimeisha
 
kutokana na spidi aliyonayo huyu "mchukia umaskini"ni wazi anachukua nchi.kumzuia haiwezekani,so naomba anayeweza kuniunganisha na mtandao wake anisaidie ili baada ya uchaguzi nami niwe pema peponi.
Una bei gani nikuunganishe? Mi mwenyewe simzimikii ila kuna mtu namfahamu anajuana na huyu Mzee, aisee anavutaga hela ndefu Sana!!
 
Unataka kujiunga na mtandao huo? Basi tuma pesa kwa Mpesa haraka shs milioni moja kwa namba hii 0995 4504508 ili usajiliwe safari ya matumaini. Tehe tehe tehe!
 
kutokana na spidi aliyonayo huyu "mchukia umaskini"ni wazi anachukua nchi.kumzuia haiwezekani,so naomba anayeweza kuniunganisha na mtandao wake anisaidie ili baada ya uchaguzi nami niwe pema peponi.
andika neno lowasa tuma kwenda namba 155556, nasi tutakipigia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…