Edward Lowassa special thread

Yaani!
Wabongo mnachekesha sana, yaan mnamfanya. Lowassa kuwa ni Masikini Kama wewe ashindwe Sununu
 
Je, Lowasa anapata wapi hizi pesa?, kama anafanya biashara anaweza kuonesha ni kodi kiasi gani analipa?
 
Kwa hiyo unataka kuaminisha watanzania Kuwa CCM ni chama cha wezi?

out of the point udhamini na wizi vinahusika vipi hapo kwenye comment yangu..unafiki unakusumbua
 
Yaani!
Wabongo mnachekesha sana, yaan mnamfanya. Lowassa kuwa ni Masikini Kama wewe ashindwe kununua hivyo vigari.
 
Yaani!
Wabongo mnachekesha sana, yaan mnamfanya. Lowassa kuwa ni Masikini Kama wewe ashindwe Sununu
Mimi siyo Masikini kama unavydhani, tatizo langu ni kwamba Mwanasiasa ambae hakuwahi kufanya biashara ya kuonekana anawezaje kuwa na Pesa ya kuwa na Mabasi yenye wapambe wanaokula na kuvywa, kuzunguka nchi nzima?
 
Kwa hiyo unataka kuaminisha watanzania Kuwa CCM ni chama cha wezi?

kuwa tajiri ndo wizi?,kijana ukomunist uliondoka na kina mwenyekiti mao,sasa ni wewe tu kuzisaka pesa
 
Kwahyo unataka kusema tangia lowassa aanze kazi hawezi akanunua yutong 4?na hata hvo sijasema amenunua.

Kwa hiyo ukitoa matumizi yake binafsi, anaweza kuwa ameserve Bilioni 1.2 kwa ajili ya Yutong 4?
 
kuwa tajiri ndo wizi?,kijana ukomunist uliondoka na kina mwenyekiti mao,sasa ni wewe tu kuzisaka pesa

Utajiri si wizi, tunachoshangaa ni kuona mtumishi wa Umma kama Lowasa anakuwa na uwezo wa kumiliko Yutong zaidi ya 3 katika kuomba udhamini tu
 
Mimi siyo Masikini kama unavydhani, tatizo langu ni kwamba Mwanasiasa ambae hakuwahi kufanya biashara ya kuonekana anawezaje kuwa na Pesa ya kuwa na Mabasi yenye wapambe wanaokula na kuvywa, kuzunguka nchi nzima?

enzi za usiwe na hisa kwenye makampuni hazipo tena,sasa mtu unaweza kuwa na hisa hata newyork stock exchange.mtu si lazima akae dukani ndo ujue anafanya biashara......
 
Yeye akiwa kama mtumishi wa Umma, huo mtaji wa HISA wa kuweza kumpa mabilioni ya pesa katoa wapi?
 
Utajiri si wizi, tunachoshangaa ni kuona mtumishi wa Umma kama Lowasa anakuwa na uwezo wa kumiliko Yutong zaidi ya 3 katika kuomba udhamini tu

we mzito sana kuelewa bado uko nyumba enzi za kiongozi haruhusiwi kuwa na hisa ama kufanya biashara
 
Yeye akiwa kama mtumishi wa Umma, huo mtaji wa HISA wa kuweza kumpa mabilioni ya pesa katoa wapi?

huyo kaanza kusaka hela,wewe bado ukiwa hujazaliwa.
inashangaza kijana wa mwaka 2000 anahoji eti lowasa katoa wapi hela......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…