Edward Lowassa special thread

Ili kuelezea kwa ufasaha maana ya neno "Ufisadi" huwezi kuacha kumtaja lowasa. eti ndo awe Rais? thubutu! sio katika nchi hii.
 

kakuibia nini wewe

au chupi yako
 
hakatwi mtu hapa

mkikata jina linarudi

au tunahamia chadema basi

no lowassa no ccm
 

Kwa hiyo unataka kuaminisha watanzania Kuwa CCM ni chama cha wezi?
 

Sio RATICO ni RATCO na hata hivo hiyo sio rangi ni stika tu zimebandikwa na pili uache wivu wa kike sababu makubaliano ya ratco na lowassa hayakuhusu.Hzo yutong hazizidi 300m na kampeni zikiisha ni rahisi kuziuza sababu zinakua kama bado mpya tu.chukua limao
 

Huyu Mwanasiasa ambae tangu ujana wake ni siasa tu, anawezaje kugharamia haya mabasi kwa zaidi ya mwezi huku yakiwa na Wapambe wanaokula na kunywa, kulala Guest nk?
 

Kwa hiyo mkuu kununua Ratco nne kila moja M300 si tatizo kwa mwanasiasa?
 
wewe ukiwa kama nani?

Nikiwa kama Mtanzania anaelipa kodi lakini kuna wenzetu wanaziiba na kuzitumia kirahisi, ndio maana huwa haipiti miaezi sita bila kusikia pesa zimeibiwa?
 
Kwa hiyo mkuu kununua Ratco nne kila moja M300 si tatizo kwa mwanasiasa?

Kwahyo unataka kusema tangia lowassa aanze kazi hawezi akanunua yutong 4?na hata hvo sijasema amenunua.
 
Huyu Mwanasiasa ambae tangu ujana wake ni siasa tu, anawezaje kugharamia haya mabasi kwa zaidi ya mwezi huku yakiwa na Wapambe wanaokula na kunywa, kulala Guest nk?

ha ha ha,kijana fanya kazi kusaka faranga,utaumiza moyo wako bure kijana......mwanaume pesa,wengine ni wanaume thuruari tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…