Edward Lowassa special thread

umeshamuuliza makamba kwanza????

acha kushoboka na mali za wanaume wenzako kama unaupenda umaskini endeleaa kuweka mikalio yako chini

Mimi sijaona za Makamba, lakini kama na yeye ni kama Lowasa basi tunaelekea kubaya kama nchi
 

Zimenunuliwa Kwa Kazi Maalum Ya Kuwasafirisha Wale Wale Wanafiki Wake Na Waliomdanganya Na Kumlia Hela / Pesa Zake Kumsindikiza Nyumba Yake Ya Milele Baada Ya Pilato Kutoa Hukumu Ya Kichama Hapo Tarehe 12 July 2015. Kwahiyo Team Yake Sasa Inaanza Kuandaa Mazingira Kama Vile Kipindi Kile Hayati Baba Wa Taifa Alipokuwa Tayari Keshatutoka Nadhani Uliona Watu Walivyokuwa Wanahangaika Kuandaa Logistics Zote Za Msiba Wake Na Mazishi Yake. Hayo Magari Lazima Yawe Mengi Kwani Hata Waombolezaji Nao Watakuwa Wengi Pia Kulingana Na Ile Ile Idadi Ya Wadhamini Wake Wengi Kila Alipokuwa Anazunguka.
 

hata sitta naye alikodi basi kama lowassa
 
Mimi sijaona za Makamba, lakini kama na yeye ni kama Lowasa basi tunaelekea kubaya kama nchi

Hata picha hujaona????
Wakati akitangaza nia hukuziona wala kuzisikia?

Acha unafiki mwambie bosi wako hoja yako imekosa mashiko
 
Shida yangu ni kujua hizi pesa nyingi zinazotumika kutafuta wazamini 450 tu wanazitoa wapi? watazirudishaje?

Siku ya kwanza kupita ile mitaa zinapopaki ratco nikaiona moja ime bandikwa stika za lowasa gari zima nikajua ndio anazungukia mikoani lkn siku mbili baadae nikapita pale na kukuta gari zaidi ya nne za kampuni ya ratco zimepandikwa stika za lowasa gari zima nikajua ni mahaba tu ya mmiliki wa hayo magari kwa lowasa...lkn siamini km ameyakodi hayo magari,kwa shughuri zipi?na mbona yanafanya safari km kawaida?
 

Kwa hyo hadithi yako inatufundsha nn
 
mnakosaga kazi za kufanya ndomana kila wakati kumdiscuss LE,mnauliza pesa anatoa wapi,bado tena mnasema ni tajiri,bado mnasema ana nunua watu.sasa tuwaelewe vipi nyie vizabizabina??hao wagombea wengine kwani hizo pesa watazirudisha vipi?kwani ni Lowassa pekee anaetafuta wadhamini?kwani duniani ni Lowassa pekee mgombea anae pata wadhamini kutoka makundi mbalimbli??Achane chuki fanyeni kazi mkose muda wakupiga majungu
 
Atafidia akipewa urais
Kule ni.dili tu jombaa
 
Kwan uyo ratco yeye kazipataje? Achana na mawazo finyu ww, kaa na kutafakar kwenye familia yenu hakuna mtu mwenye pesa? Na kama yupo kazipataje? Au we unataka kila anacho kifanya akwambie kuwa sasa hv nafanya kitu fln, ww ni kama nan? Utakufa maskin na mawazo yako finyu
 
Wandugu,

Katika kile ninachooneka Team Lowassa matumaini FC kuonyesha kushindwa mapema, ni ile hali ya kulia lia kila kona akihofia kukatwa.

Matumaini FC baada ya kupata kocha mpya aliyechukua mikoba ya shushu mstaafu no. 1 ambaye alionekana kuiongoza vizuri team yake lakini mwenye team akajali zaidi ule utatu mtakavitu au mapacha watatu ambaye aliachia ngazi za uwakilishi njengoni kwa kuita siasa za Tanzania kuwa ni uchwara zaidi.

Baadaye kutimukia Kenya kusaka mahela zaidi na kuipa TZ kisogo, Mwanandiga huyu mtaalam wa madili Tanzania amekata matumaini na teama yake Matumaini FC iliyokuwa inaelekea kuchukua Kombe linalowaniwa kila miaka mitano pale magogoni.

Mpaka tunaingia mitamboni watabili maarufu wanaona matumaini FC kufungwa penaliti 1-0 kwenye mchuano mkali zidi ya wagombea wenzake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…