Edward Lowassa special thread


Lowasa anapendwa kwa sababu ya pesa Kinyume ya hapo hapendwi
 
mimi nilikuwa njiani nimetoka dar kurudi Arusha kuanzia KIA nimekutana na huo msafara wa mamvi mpaka kero huko barabarani wamekaa team ya mamvi wanamsubiri huu usanii angejua kitachomkuta asingehangaika kiasi hicho

Hicho kibaya kikukute wewe na sio unaemwombea.
 
Yaani Mungu anavyompenda EL wee acha tu... na anavyowapenda watanzania hadi kaamua kuwapa mwanae wa pekee ili atuongoze na kututoa ktk dhiki kubwa hii..!!

Asante Mungu...sifa na utukufu zirudi kwako...!!

EL ni Messiah...!!! Mwacheni Mungu aitwe Mungu, akiamua kaamua...!!!
 
Mabosi wa chama chake wameshasema wanataka wadhamini 400 hao wengine akapige nao picha
 
kusotea kote wanamkata mzee wa watu?Mbona nasikia walipanga na jk ata mwachia
 
Ina maana hajapata wadhamini 450 nchi nzima wanaotakiwa au kuna lingne anatafuta huyu gamba sugu.
 

Dah!
Nina mpango wa kutengeneza ka-series ka komedi hivi kwa kutumia uzi na comments zako!Umenipa IDEA, hapa lazima nitoke kwa comedy! Una kipaji cha KUCHEKESHA rafiki.
Pumba zako ni comedy tosha!
 

Hao ni wanachama wapya waliohamia mikoa hiyo wakiwa wanachama tayari. Sasa leo huko huko uliko amedhaminiwa na wanachama zaidi ya laki moja. Kwani orodha ya wanachama inatunzwa kwako?
 
Huyu Jamaa ni King and master of Politics hapa Tz... hivi fikiria Arusha ni ngome kuu ya CDM... ila kwa Urais, kashajihakikishia anakomba wote... aisee huu mchezo EL anaujua...eeeh..!!

By the way, kuna anayefahamu Arusha ('mujini') kuna wakazi wangapi?
 
Hivi kweli umati wa watu anowakusanaya kwenye kudhaminiwa ndiyo utufanye tusahau kuwa ni fisadi na wanaomzunguka ni mafisadi na ni hatari kwa Tanzania ya kesho? Mimi bado sijashawishika kwa kweli naipenda Tanzania yangu na siko tayari kuona fisadi anakwenda kuwa msafi akiwa ndani, mmmmmmm.
 
Ndio maana yake wenyeviti wamepewa pesa wanaangaika nyumba kwa nyumba ili wapate wazamini bahati mbaya wanaenda kwa watu wasio jua kusoma kazi kuweka gumba tu

Haaaahaaaaa....tuombe radhi CCM... plz... lasivyo tunakufutia uraia, na utarudi burundi sasa hivi...😂😂😂😂😭😭😭😭
 
kusotea kote wanamkata mzee wa watu?Mbona nasikia walipanga na jk ata mwachia
JK ni zaidi ya geneous. Ajua wazi CCM siyo yake na hana ubavu wa kuamua Lowassa awe rais,Lowassa alidanganyika na safari hii anaweza akatambua kuwa CCM ni taasisi siyo chama cha Mwenyekiti anayekiongoza.
 
Kama ataondoka CCM na kugombea ACT nitamuunga mkono kwa uamuzi.
Maana atazidi kurahisisha Safari ya UKAWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…