mimi nilikuwa njia natoka dar kurudi Arusha kuanzia KIA nimekutana na huo msafara wa mamvi mpaka kero huko barabarani wamekaa team ya mamvi wanamsubiri huu usanii angejua kitachomkuta asingehangaika kiasi hicho
mimi nilikuwa njiani nimetoka dar kurudi Arusha kuanzia KIA nimekutana na huo msafara wa mamvi mpaka kero huko barabarani wamekaa team ya mamvi wanamsubiri huu usanii angejua kitachomkuta asingehangaika kiasi hicho
Hii timu Lowassa kila siku inaleta muujiza mpya.
Maana Mbeya ilipata wadhamini 53,000 wakati mkoa wa Mbeya una jumla ya wanachama wa CCM 31,000
Iringa ikapata wadhamini 59,000 wakati mkoa wa Iringa una jumla ya wanachama wa CCM 39,000
Kweli hii ni timu ya matumaini, inaboresha mpaka wanachama wa CCM wanaongezeka hewani.

Ndiye NEXT. Raisi
Lowasa ni janga la taifa hili
Asubiri fomu zake zikataliwe kwenye kikao cha CCM. The guy is so theatrical.Arusha imepata wadhamini zaidi ya laki moja wakati mkoa wa Arusha wanaCCM hawafikii hata elfu hamsini.
Siamini kama hawa bodaboda wanapewa hizo pesa..mi nadhani ni uzushi...mwenye evidence alete hapA..mi nadhani huyu Lowassa wanampenda tu sio pesa zake...
Asubiri fomu zake zikataliwe kwenye kikao cha CCM. The guy is so theatrical.