Hata kama ana kura milioni 20, Lowasa hafai kuwa kiongozi wa nchi
Nani anafaa?
Lowasa alianza na Mungu atamaliza na Mungu,Go Go our loved president
Lowasa alianza na Mungu atamaliza na Mungu,Go Go our loved president
Inasemekana mkoa wa Mbeya una wanachama 31,000 lakini Lowasa kafhaminiwa na wanachama 53,000 kwa hiyo hiyo nyongeza ya wanachama wa Ziada anajua yeye na team yake kuwa kawapata wapi.
Inasemekana pia mkoa wa iringa una wanachama 39,000 lakini Bwana Mkubwa kadhaminiwa na wanachama 60,000.
Nimeamini Kweli jasili haachi Vasili.
Nashangaa siku hizi wezi wanaoata umaarufu mkubwa na wanatetewa kila kona. Ila najua hawa wanaowashabikia ni wanufaika wa wezi huoAcha kupotosha wataka maendeleo kwa kutetea wezi na wasababisha umaskini. Mimi nikiona mtu kavalia jezi ya ccm hata akitaka msaada wowote simpi
mh lowassa popote ulipo naomba upokee pongez zangu kama kijana na mtanzania pia na comrade wa chama cha mapinduzi pongez zangu ni kwa nyanja moja ya kukikuza chama kiujumla tangu uanzishe vuguvugu la kutaka kwenda ikulu chama chetu kimepata wanachama wengi
,pia hata wale waliotaka kuhama wamebaki kwa sababu yako ,pia watu wamerudisha imani kwa chama cha mapinduzi na kimepata nguvu kubwa mijini na vijijin kwa rika zote..pia umesaidia kupunguza nguvu ya wapinzani tunasema asante sana na mungu akutangulie katika harakati zako.......
.kwa ujumla chama kuanziakwenye media had midomoni kwa watu hakitoki kila siku kwa sababu yako ,haiwez pita siku kwenye kahawa ,vijiweni,ofisin,darasan,hospitalin,hata bungeni,wapinzani,na makanisani bila jina lako na chama kwa ujulma kutajwa na kuzungumza ..mungu ibariki tanzania mungu mbariki EDWARD NGOYAI LOWASSA.KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Yeye hakusali? Si alipewa hadi jina la Abdallah?
Siamini kama hawa bodaboda wanapewa hizo pesa..mi nadhani ni uzushi...mwenye evidence alete hapA..mi nadhani huyu Lowassa wanampenda tu sio pesa zake...