JET SALLI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,993
- 2,034
TAIFA hujengwa na watu wenye Akili timamu yenye ujuzi na muono wa kimapinduzi katika kujiletea maendeleo kwa watu wote.Hali iliyopo katika nchi yetu inasikitisha sana Watanzania walio wengi wamegoma kusikia,kuelimishwa wala kufundishwa.Huko NEWSZEALAND MBWA amefundishwa,akaelimishwa na akasikia na ameweza kuendesha gari,Najiuliza kwa nini watanzania wengi hawasikii,hawaelimiki wala kufundishika kama MBWA ameweza JE watanzania ni KUNDI gani.Hakuna KASHFA Ndani ya Serikali ya CCM TUSIYOIJUA,NCHI imeteseka kwa Kashfa hizi RICHMOND,EPA,MEREMETA,mwaka 2012 KUFICHA TSHS 315 Billion Uswis,na KASHFA YA TEGETA ESCROW ambayo bado ni mbichi kabisa,ETI Watanzania wamesahau Ajabu sana hii.Kashfa zote hiz zimetuacha Watanzania tukiwa maskini wa kutupa,Mbaya zaidi zimewageuza watanzania kuwa MASKINI WA MALI NA AKILI PIA.WATU Wema wenye mapenzi mema na NCHI Wametoa ELIMU karibu kila kona ya nchi hii.Watanzania wameambiwa mnaibiwa cha ajabu hawasikii wala kutaka kujua juu ya haya MAKASHFA MAKUBWA MAKUBWA Yanayodidimiza Taifa.TANZANIA ni ya Pili kwa rasilimali barani Afrika lakini ni nchi ambayowananchi wake wanaishi kama Mbuzi na Ng'ombe katika nchi yenye maziwa na Asali Yote hii inatokana na kugoma kusikia,kuelimika,na kufundishika kitu ambacho hata mbwa wa huko NEWSZEALAND Ametushinda hii ni Aibu kwa watu weusi kukumbatia UZEZETA,UMBUMBUMBU,UPUMBAVU,UZ UZU na UPUUZI UPITAO UPUUZI WOTE.WAAFRIKA TUBADILIKE NA TUFANYE MABADILIKO KTK NCHI YETU NA AFRIKA KWA UJUMLA.TUMEISHIA KUTUKANWA NA MATAIFA YA NJE TUNA RASILIMALI NYINGI VIONGOZI WETU WANAZIGAWA KAMA NJUGU NA WANANCHI WANASHANGILIA WEZI HAO KWA MAFURIKO.MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE NA UAMSHE UTASHIWA WATU HAWA WAWEZE KUJITAMBUA.