Edward Lowassa special thread

Rais Kikwete amekuwa madarakani lkn sijawahi kushuhudia akipata mapokezi aliyoyapata Lowassa leo, umati ni mkubwa mno, barabara kuu ya kutoka airport haipitiki

Asanteeeee #kelao Mungu akulinde daimaaa... leta habari yote, wajue Mpango wa Mungu hakuna wa kuupinga...!!!
 
Tena Makongoro anajitahidi kweli kuwasafisha Watanzania dhidi ya propaganda kuwa Lowasa anafaa. Lowasa hafai hata kwa chembe


Jiandae, ukuu wa Wilaya utausikia ktk tv and radios tu...!!! unatumika vibaya kijana mdogo...!!! Very shame...!!!

Unaongelea mtu mlevi, mzinzi, msaliti wa CCM makongoro, anategemea jina la Baba wa Taifa kumbeba... ur joking...!!! Jiandae kuwa in exile...!!
 
Eeeeh...ama kweli CCM ni chama dume... Lowassa ni mwana wa Mungu...mpango wa Mungu...!!!

Huku kimenukaaaaa...ni CCM, CCM, rais, rais, raisiiiiiiiiiiiiii...ooiiiiihhh... kazabalochokalaaaaa..mamaaeeeeee CCM...CCM eeeeh...🔊🔊🔊📻📺📡📠☎📱💻💽📀💿📼📷🎥
🎉

Lowasaaa Lowasaaaa.... Yaani barabara kutoka airport utitiri wa watu wamejipanga hadi mjini kiwanja cha majamaji... kama vile Obama alivyotua Dar.... sio mafuriko tenaaaa ni tsunamiiiiiiiiii, tetemeko la ardhi...
volcanooooooo.... mamaeeeeee...!!! uwiiiiiii....yalaaa yalaaaahh....yasalaleehhhh uuuuhh...!!!

CCM..🔊🔊.🎉🎉🎉🎆🎆CCM 🔊🔊🎉🎉🔔📢📣e🔨🔨eeehhh 🔊🔊🔊🔔🔔📢📢📣📣📣🎉🎉🎉 Chama cha mapinduziiiiii CCM nambari oneeee.....!!!! 🔊🔊🔊🔔🔔📢📢

🎉🎉🎉📷💿📀💻🎈📱☎📡📺

CCM ni hatari tupu... Kweli Lowassa Mpango wa Mungu wa mbinguniii...kimenukaaaaa haswaaaa... nadhani labda kuna watu labda sijui toka Msumbiji kaaaaaahhh...!!! hatariiii hatariiiiii.... Messiah katua Songea...!!!
 

angali yasije tokea ya lindi wakapelekana polisi kudai mafao yao
 
angali yasije tokea ya lindi wakapelekana polisi kudai mafao yao


🙌🙌🙌🏃🏃🏃💃💃💃👏👏👏💏💏💑💑

Nimenyoosha mikono juuuu... i surrendered.... 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌astagafirulaahiiiiiiiii.... hizi si nguvu za kawaida... Mungu mwacheni aitwe Mungu....eeeeehh...!!!!

Taaaaakbiiiiiiiiiiirrrr.... EL dude... eeehh...maaaaamaaaeee.... !!!

Daaaah.. Songea hakuna cha Arusha wala wapi... hapa ni mwishoooo...!! hadi vikongwe na walemavu wanabebwa na mikokoteni... yaaniii... Munguuu Munguuu wanguuuu.... Allaaah wakbar...!!!
 
Habari wana jamvi?
Kwakweli nimekua nikifatilia EL anapopita nimegundua kuhusu watu wanaosema jamaa anahonga ni uongo uliotukuka kumchafua. Lakini kama ccm wanataka kweli kuchukua nchi MPITISHENI LOWASA MAANA ANAKUBALIKA MTAKE MSITKE.Ogopa mpaka majimbo ya wayia nia wengine yeye bado anaongoza.. Angalia hii ya mbeya ni kufuru, na hata kama lowasa anahela kiasi gani ndo ahonge wadhamini wote hawa?Siasa za kuchafuana zimepitwa na wakati na kama mm ndo kikwete tayari ngetoa order mwisho wa kuchukua form na halmashauri kuu wala isipoteze muda kuchuja hata kama ni haki kikatiba maana GOMBEA AMEONEKANA ANAEKUBALIKA.
Note
I DONT BELONG TO ANY OF THE TEAM BUT THIS IS THE REALITY DESPITE THE FACT THAT HE HAS WEAKNESSES.
 
Mtoa mada unapaka au unapulizia kinyesi pafyum ila mimi ni mtendaji zaidi naelimisha watu wajiandikishe kuiua ccm na sivinginevyo
 
Hivi hata tume ya Taifa nchi hii nayo imeferi kiasi hiki? wanawezaje wakaona hizi kampeni za waziwazi alafu mda bado ama ndo kila mtu anaamua aanze lini kampeni na amalize lini ...hivi Lubuva umeruhusu kampeni tayari?
 
This is among the highest levels of mental disorder
 


WAZIRI Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa amesema hana shaka na swala la kukatwa
jina lake katika vikao vya Chama cha Mapinduzi(CCM), kwani anaamini Chama chao kitatenda haki kwa kurudisha jina lake kuwa mgombea urais wa Tanzania.


Lowassa ameyasema hayo leo wakati akizungumza na wanachama wa CCM na wananchi wa Mkoa wa Ruvuma katika ofisi kuu za CCM Mkoani humo, wakati akitoa shukrani baada ya kudhaminini na wanaCCM zaidi ya elfu 52.

"Nimekuwa mwanaCCM tangu mwaka 1977 nilipomaliza chuo kikuu, sijawahi kufanya kazi nje ya CCM hivyo nakijua chama na hakuna mgombea atakayeweza kuvunja rekodi ya utendaji wangu katika chama, sasa leo anayetaka kukata jina langu anatoka wapi? anakata kwa sababu gani? Sioni kosa la kukatwa jina na Watanzania hawaoni, kwa hiyo msiwe na wasiwasi jina litarudi tu". alisema Lowassa.


Lowassa aliwasili Mkoani Ruvuma mapema mchana wa leo akitokea Mkoani Iringa kwaajili ya
kusaka wadhamini katika mbio zake za kusaka urais kwa tiketi ya chama
hicho, ambapo umati wa watu ulifurika kumlaki na kupelekea kufunga barabara kuu ya mjini, hali iliyompelekea Lowassa kupanda juu ya kibambaza cha jengo la ofisi ya CCM Mkoa ili aweze kuzungumza hao.

Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa, akizungumza na Umati wa WanaCCM pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Ruvuma waliokuwa wamesimama nje ya Ofisi za CCM Mkoa huo, mjini Songea leo Juni 21, 2015, wakati alipofika kwa ajili ya kupata udhamini utakaomuwezesha kupata ridhaa ya Chama chake kuwania Urais kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akiwasalimia wanaCCM na Wananchi wa Mkoa wa Ruvuma. Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Chifu wa Kabila ya Wangoni, Chifu Ally Yussuf Songea (97). Chifu huyo alikwendwa kwenye uwanja wa Ndege wa Songea kumpokea Mh. Lowassa.
Wakinamama wa Mkoa wa Ruvuma wakimfurahia Mh. Lowassa.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono wanaCCM pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Ruvuma.
Mmoja wa Wazee wa Mkoa wa Ruvuma, Mzee Ally Jaibu Rashid akitoa neno kwa niaba ya Wazee wa Ruvuma.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akizungumza machache na Wazee wa Mkoa wa Ruvuma.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akiondoka kwenye viwanja vya CCM Mkoa wa Ruvuma.
 
siamini kama watanzania tunawapenda mafisadi hivi
 
Nadhani mzee wa misele kashacheza chogochemba na sasa anapiga misele kujifanya anaaga majuu lkn kumbe anatayarisha dili zaidi za kupiga na EL..!! Hawa Boyz 2 Men ni wa kuwaogopa kama ebola..
 
Acha kutudanganya mtu mgonjwa hata kutembea ni changamoto hawezi kupanda juu ya paa.
 
Ndio uone ilivyo vigumu kuwabadilisha watu kuwa waelewa wa nini maana ya uchaguzi. Ukiangalia hivyo vijimama vinamshangalia EL pasipo kujua ukweli juu ya mtu huyu alivyo hatari kwa maisha yao. Wao wanamshangilia kwa ushabiki wa UCCM, suala la uadilifu na sifa zinginezo anzopaswa kuwa nazo mtaka urais kwao halina maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…