Acheni uwongo wenu...yaan Lowassa aonge watu 53,000? acheni ujinga wakuu...kama mtu anakubalika itakuwa hivyo hivyo...kwanza nadhani wananchi wanafuatilia sana habari, wenzake wanampiga vijembe sana lakini wananchi nadhani wanasema huyo huyo....tusipokuwa makini yale ya Kenya (Uhuru kenyata na kesi zake ICC) na hizi kashfa feki za Lowassa za Richmond yatatokea hapa nchini