Edward Lowassa special thread

Hapa Tunduma gari imezurura mchana kutwa leo kuwatangazia wanaccm kuwa Lowasa Kesho atakua mkoa wa Mbeya hivyo mwenye hiyari ya kumdhamini ajitokeze hiyo Kesho.
 
Hapa Tunduma gari imezurura mchana kutwa leo kuwatangazia wanaccm kuwa Lowasa Kesho atakua mkoa wa Mbeya hivyo mwenye hiyari ya kumdhamini ajitokeze hiyo Kesho.

[BHapo mbeya si alitaka waulia na mwakyembe?[/b]
 
Vivaaaa lowassa vivaaaa
 
Attachments

  • 1434643173515.jpg
    131.1 KB · Views: 238
Hiv na nyie kina dada mnatahiriwa?serikali si imepiga mafuruku!!!!!hahaa wale wa kupiga deki watakukimbia.pokeee
 
Hiv na nyie kina dada mnatahiriwa?serikali si imepiga mafuruku!!!!!hahaa wale wa kupiga deki watakukimbia.pokeee

endelea kunitafuta na matusi yako ya rejareja ila nikiyafungulia usiombe tu po kwa mods. kwahiyo mimi dada si ndiyo? ngoja nijikoki "nikichafue".
 
LOWASA ndo raisi mtarajiwa...CCM wakifanya makosa basi jamaa atachukua nchi akiwa upinzani..
 
Aiaeee hajawa Raisi ila watu wanamheshimu kama Raisi. Mwaka huu mtaisoma namba. Akija Dar sijui itakuwaje
 
Lowasa ndiye aliye ibeba ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…