Edward Lowassa special thread

Fisadi Lowassa hakupaswa kulinganishwa hata kidogo na Jaji, ni kutomtendea haki jaji.
 
Hahahahah nakusifu Jambo moja unavyojitahidi kuhamisha ajenda!na kuleta hii badala ya Richmond tehetehete we dereeeeeeee!!!!!!!!!!!!!
 
Mchungangaji aongoze nchi jamani ni sawa da sijui sisiem kama itavuka ila ukawa wajipange hatuangalii sura tunasikiliza sela....

kweli ccm wanatakiwa wajue kuwa nani anweza kushambulia jukwaa kiukweli ili watu wajue uwezo wake,au wampitishe magufuli maana anaonekana ni bora kwenye kuimili jukwa la siasa ili kupambana na hoja za wapinzani.
 
Mbaya sn ukiwa unapenda hesabu lakini hauzijui!!!
 
Tushachoka na majungu yenu leteni ushahidi sio kuongea tu Richmond wakati hamna ushahidi
 

JAJI MKUU RAMADHANI ANA MIAKA 70.....Wengine watakuja na taarifa zingine. Jaji wa Mahakama ya Rufaa anastaafu kisheria akiwa na miaka 65
 
Sina matatizo na uchambuzi wako kwani hiyo ni haki yako lakini tafadhali usiharibu lugha yetu adhimu unapoelezea jambo kwa kutumia kiswahili kibovu.
Najua wengine mtasema lakini ujumbe si umeeleweka?? lakini kwangu mimi ninaona kuwa kama tunaitusi lugha yetu kitu ambacho hakifai kabisa. Ingekuwa anaboronga kiingereza ningeeelewa lakini hata kiswahili jamani???? au hili ninaliona mimi tuu???
 
kesho mh. lowasa atakuwa MAFINGA (w) MUFINDI kusaka wathamini katika safari yake hii ya matumaini, leo watu wanajiandikisha kwa malipo ya tsh. 50000,kwa aliye na kadi ya ccm ili kuhudhuria mkutano wake utakao fanyika uwanja wa wambi siku ya kesho, boda boda 100 zinaandaliwa kwa tsh 70000 kila moja kunagesha msafara sharti ni kuwa na kadi ya ccm sisi waandishi tunalamba tsh. 50000 sasa najiuliza hizi fedha zinatolewa kwetu tu au kote
 
Wanajua nini wakati hawakubaliki walitegemea wangekuwa wanafuatwa lakini wameona hawauziki ndo mana wametulia mapema wanachama wana hamu ya kumuona mgombea wao mapema halafu bila ya kulitaja jina la lowassa huwa mnaumwa na hiyo asilimia mia moja yako najeuri na kiburi utawapeleka kwenye familia yako wakuongoze safari hii kwa nguvu kwa hiari utajinyonga na akili yako ndogo
 
Kama kweli nenda polisi toa taarifa kibaka mwepesi. Yaani wewe mwandisshi wa habari unakuja jf na habari hii? Ama kweli kuna na kanjanja wa porojo
 
 
Kote, rostam alifika mafinga jana na furushi la hela likiwa limeandikwa kwa maandishi meusi "abbas gullamali"
 

Mimi nilitaka kuamini kuwa lowasa anatoa pesa lakini kwa sasa sitaki kuamini kutokana na habari zingine ni uongo kweupe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…