wenye kujua nini wanafanya wameshamaliza kukusanya hizo saini za wadhamini wao na kabaki yeye tu akitafuta umaarufu wa kitoto huku akijichelewesha kurudisha ili azidi kujipatia umaarufu kwa mgongo wa watu wengi wanaojitokeza ambao hata hivyo wengi wao ukiwaangalia tu kwa jicho la tai utagundua kuwa ni watu wanaofanana nae kiakili na wasiojua tanzania inataka nini na kiongozi gani. ataruka sana na hiyo private jet yake na hiyo chopper na ningeshauri hata akiweza atumie hadi spacecraft ila nawahakikishieni huku nikiwa na jeuri, kiburi na nyodo ya 100% kuwa edward ngoyai lowassa hatopitishwa na ccm kugombea urais 12 july 2015. nayasadiki maneno yangu haya na nitakuwa nayasadiki kwenu kila siku hadi ikifika siku ya 23 kutoka leo. ccm haijaenda likizo kihivyo hadi kufikia hatua ya kusahau nini yalikuwa mawazo ya hayati baba wa taifa na watu hawataki kulaaniwa na mzimu wa mwalimu nyerere hivyo watamfurahisha kwa kumpa nchi mtu ambaye hana hata chembe ya rushwa, wizi na umafia. rais akikosekana kati ya hawa dr. magufuli, jaji augustino na professor muhongo huku makamu wao ( mgombea mwenza ) akiwa makongoro nyerere mnitahiri kwa mara ya pili.
Kukata jina la lowasa,ndio mwisho wa ccm.wenye kujua nini wanafanya wameshamaliza kukusanya hizo saini za wadhamini wao na kabaki yeye tu akitafuta umaarufu wa kitoto huku akijichelewesha kurudisha ili azidi kujipatia umaarufu kwa mgongo wa watu wengi wanaojitokeza ambao hata hivyo wengi wao ukiwaangalia tu kwa jicho la tai utagundua kuwa ni watu wanaofanana nae kiakili na wasiojua tanzania inataka nini na kiongozi gani. ataruka sana na hiyo private jet yake na hiyo chopper na ningeshauri hata akiweza atumie hadi spacecraft ila nawahakikishieni huku nikiwa na jeuri, kiburi na nyodo ya 100% kuwa edward ngoyai lowassa hatopitishwa na ccm kugombea urais 12 july 2015. nayasadiki maneno yangu haya na nitakuwa nayasadiki kwenu kila siku hadi ikifika siku ya 23 kutoka leo. ccm haijaenda likizo kihivyo hadi kufikia hatua ya kusahau nini yalikuwa mawazo ya hayati baba wa taifa na watu hawataki kulaaniwa na mzimu wa mwalimu nyerere hivyo watamfurahisha kwa kumpa nchi mtu ambaye hana hata chembe ya rushwa, wizi na umafia. rais akikosekana kati ya hawa dr. magufuli, jaji augustino na professor muhongo huku makamu wao ( mgombea mwenza ) akiwa makongoro nyerere mnitahiri kwa mara ya pili.
Mikoa 13 ya bara atamaliza lini? Maana Znz keshapata wadhamin.
Naona unazidi kuchanganyikiwa Maghufuli umesahau riport ya juzi kuwa billion 290 fedha za kitanzania hazionekani zimeliwa na akina muhongo juzi tuu hapa amejiuzulu
......weka hoja kwa nini unafukiri hivyo stanlthecreatorLowasa ni mkombozi wetu wa Tanzania
Lowassa ndiye Rais wetu.
Hivi jk hakuwahi kukataliwa na mwl nyerere?
Kukata jina la lowasa,ndio mwisho wa ccm.
Lowasa ni mkombozi wetu wa Tanzania
Lowassa ndiye Rais wetu.
habari ya mjini ni Mch.Augustino ramadhani.Hili fisadi jambazi lowasa arudi monduli agombee ubunge
na kulibakisha na hadi kulipitisha jina la lowassa ndiyo tiketi laini na nyepesi kwa ukawa kuchukua mamlaka na dola rasmi ya tanzania.
nipe tofauti ya mtu kuambiwa " muda wako bado haujafika " na " hufai kuwa rais kwakuwa wewe ni mwizi ". anayemaliza muda wake october 25 2015 aliwambiwa muda wake bado na huyo unayemtaka atutawale aliambiwa kuwa yeye ni mwizi. sasa jichekeche mwenyewe kisha utapambanua. wamawia ninaowajua mimi huwa wanajua sana kufikiri sasa sijui mwenzetu ni mmawia wa wapi. au ni wale wa " nchumbiji? ".
wenye kujua nini wanafanya wameshamaliza kukusanya hizo saini za wadhamini wao na kabaki yeye tu akitafuta umaarufu wa kitoto huku akijichelewesha kurudisha ili azidi kujipatia umaarufu kwa mgongo wa watu wengi wanaojitokeza ambao hata hivyo wengi wao ukiwaangalia tu kwa jicho la tai utagundua kuwa ni watu wanaofanana nae kiakili na wasiojua tanzania inataka nini na kiongozi gani. ataruka sana na hiyo private jet yake na hiyo chopper na ningeshauri hata akiweza atumie hadi spacecraft ila nawahakikishieni huku nikiwa na jeuri, kiburi na nyodo ya 100% kuwa edward ngoyai lowassa hatopitishwa na ccm kugombea urais 12 july 2015. nayasadiki maneno yangu haya na nitakuwa nayasadiki kwenu kila siku hadi ikifika siku ya 23 kutoka leo. ccm haijaenda likizo kihivyo hadi kufikia hatua ya kusahau nini yalikuwa mawazo ya hayati baba wa taifa na watu hawataki kulaaniwa na mzimu wa mwalimu nyerere hivyo watamfurahisha kwa kumpa nchi mtu ambaye hana hata chembe ya rushwa, wizi na umafia. rais akikosekana kati ya hawa dr. magufuli, jaji augustino na professor muhongo huku makamu wao ( mgombea mwenza ) akiwa makongoro nyerere mnitahiri kwa mara ya pili.
Bila lowasa hakuna ccm
Mimi ni mmawia wa mocambique