mgosi9
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,581
- 261
Over My dead body!
hahaha!
Over My dead body!
nipo nilikuwepo na nitakuwepo viva LOWASAA viva UKAWA baba angu anasema hv kwa mara ya kwanza anapigia kura upinzani mwaka huuu
Naomba kuuliza wananchi WA jimbo la monduli wamkumbuke mh lowassa kwa lipi? 1. Hakuna maji tangu awe mbunge, waziri WA maji, waziri mkuu.
. 2. Barabara mbovu (za vumbi)
Je unaweza safisha sebureni wakati chumbani kunanuka?
Najua wengi mtakurupuka kutukana wakati hamjui mkazi WA monduli anataabikaje,
Tuko pamoja mpaka saizi ushindi mezani ila tunatafuta namna ya kulinda kura tu ndicho kilicho baki.
Me,my mom,dad and all kinsmen were once in darkness,
Mom used to lead local CCM summons but for the first time we are seeing light!we are no longer in darkness,Lowassa have brighten our lives,viva lowassa,wherever u go my family is with u,we love u,u are always in our prayers, God chose u to lead his people
Aisee!!
$$$$$$$$$$$$$$$$$$kama dr muhogo tumezika sembuse sisimizi hawa. huu ni mwaka wa mabadiliko, ni mwaka wa lowasa tutaona mengi na hii bado ni trela. Watanzania tukaze buti sana lazima fisiccm ing'oke. ukisikia hii mwambie na jirani yako ccm imetenga mabilioni na ikishindwa watatumia nguvu lakini haitoboi mwaka huu, siku ya kufa nyani miti yote huteleza!!!!!
,,,,,,,,,,,,,,,,,,,ni lowasa tu kila kona ya nchi....ni mabadiliko tu kila kona ya nchi