Kapuya chali ,hata ubunge nao hati Hati! !
Hebu tuwaangalie wale team L damu vigogo.
Visent,
Kange,
Mmama mmoja wa Singida
Mmama mmoja anaebebaga hela kwenye viroba,
Handsome boy mngoni,
Mmama mmoja anaejua kula chapati
Mkaka mmoja aliyehama jiji
Nani katika hawa ????
wewe ni zaidi ya mwehu
sasa mwehu nani? Mimi au wewe? White hair kalimwa kiko wapi?
Kama kawaida kila anapoteleza au kuwini mmekuwa mkiwa na utaratibu huu ,,tunaombeni ratiba ili tukashiriki pamoja kutoa pole au kusherehekea...?
Hahaaaa makanisa na misikiti waendelee kumwalika ktk harambeee tuone atakavochangia