Edward Lowassa on ITV!-Dakika 45 Part II!.

Mkuu Nyunyu, sio kweli kuwa siri ya kujiuzulu kwake, naijua mimi tuu!.
Pasco.

Pasco nisome vizuri mkuu!! Nimesema wanayoijua ni RA, EL na JK mwenyewe!!! Si wewe mkuu!! All other you have said holds! RA alileta Dowans kuokoa jahazi lakini haina maana hakujua malfunctions za Richmond!!

Tusubiri kuvuka daraja...
 
Baada ya Edward Lowassa kusifiwa na rais Magufuli kuwa ni Superman, namdurufu kidogo Lowassa kwa kujikumbusha niliwahi kusema nini kuhusu mtu huyu.
P
 
Kuanzia leo mpaka atakapo pumzishwa kwenye makao yake ya milele, as my tribute to this fallen hero, let's celebrate the life and the time of Edward Lowassa.

RIP Shujaa Edward Lowassa, umepigana vita vilivyo vitakatifu, imani umeilinda.
Bwana alileta Bwana ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe!.

Paskali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…