Tatizo anakurupuka huyo mseng*, kihistoria, Lowassa na Sendeka ni vitu viwili tofauti kabisa!
Ujinga mama yako
olesendeka anajua kuwa lowassa ana ushawishi mkubwa na nguvu kubwa kuliko jk,.kama mtu ana nguvu kuliko rais basi yeye ni rais kasoro tu haishi ikulu..olesendeka hawezi kupingana na rais,wakina sitta ni ujeuri wa uzee tu huo mwisho wa siku watampigia magoti fisadi lowassa.
Kampeni za uchaguzi jimbo la Arumeru mashariki zitaibua mengi mwaka huu. Christopher Ole sendeka aliyekuwa mmoja wa wanamgambo wa ufisadi sasa amejifunga kibwaya na kujiunga na kambi ya EL kuhakikisha mgombea wao Sioi anashinda.
Ole Sendeka ameamua kwenda Arumeru kuongeza nguvu na jana alipanda jukwaani kumnadi Sioi na kusema hhuyo ndie mkumbozi pekee wa wameru na amekula yamini kumuunga mkono hadi ushindi upatikane.
Kwa hali hiyo Ole Sendeka amejitenga na kundi la Sitta na sasa ameungana na Beatrice Shelukindo katika kuhamia kambi ya Lowasa ambayo imo katika vita baridi kuwania urais 2015. Ikumbukwe Mama shelukindo na mumewe walikuwa kambi ya sita before 2010 lakini baada ya uchaguzi mkuu mama huyu akaingia kambi ya Lowasa.
nani kama Lowassa???[/QUO
mtoa mada unanifurahisha sana ajiunge mara mbili kwan nani alikudanganya kuwa anampinga???? hawez hata sikumoja coz yule ni ndugu yake wa damu hivyo anapigania jimbo ili mkwe apatenafasi ha ha haaaaaa upo hapo
Kwani yeye hamuoni Mwakyembe.Ukiwa mwanachama wa CCM sikuzote huwazi kwa kutumia akili.
sikutegemea kabisa kama Ole Sendeka na yeye angetumia makalio kwenye hili sakata la Lowassalism
kampeni za uchaguzi jimbo la arumeru mashariki zitaibua mengi mwaka huu. Christopher ole sendeka aliyekuwa mmoja wa wanamgambo wa ufisadi sasa amejifunga kibwaya na kujiunga na kambi ya el kuhakikisha mgombea wao sioi anashinda.
Ole sendeka ameamua kwenda arumeru kuongeza nguvu na jana alipanda jukwaani kumnadi sioi na kusema hhuyo ndie mkumbozi pekee wa wameru na amekula yamini kumuunga mkono hadi ushindi upatikane.
Kwa hali hiyo ole sendeka amejitenga na kundi la sitta na sasa ameungana na beatrice shelukindo katika kuhamia kambi ya lowasa ambayo imo katika vita baridi kuwania urais 2015. Ikumbukwe mama shelukindo na mumewe walikuwa kambi ya sita before 2010 lakini baada ya uchaguzi mkuu mama huyu akaingia kambi ya lowasa.
Nani kama lowassa???
sendeka hata siku moja hawezi kujiunga na kambi ya lowasa,sendeka ameenda ARUMERU Kukisaidia chama na sio kumsaidia Lowasa
Umemjibu vizuri sana maku huyu...anamuita dr slaa popo anaakili kweli
Umemjibu vizuri sana maku huyu...anamuita dr slaa popo anaakili kweli
olesendeka anajua kuwa lowassa ana ushawishi mkubwa na nguvu kubwa kuliko jk,.kama mtu ana nguvu kuliko rais basi yeye ni rais kasoro tu haishi ikulu..olesendeka hawezi kupingana na rais,wakina sitta ni ujeuri wa uzee tu huo mwisho wa siku watampigia magoti fisadi lowassa.
Title ya thread hailingani na yaliyoandikwa....anyway inawezekana kuna kitu nyuma ya pazia...hata hivyo inapofika wakati wa kutetea ushindi wa CCM katika uchaguzi wowote nadhani wanahitaji kuwa kitu kimoja and this is what Ole sendeka is doing.
Mnapenda sana muone siasa za makundi CDM, ili ati muisambaratishe kama hao wengine. Huku mmechemsha, woote ni watoto wa baba mmoja, mama mmoja. Watoto wa kambo wako huko kwenu. Hata hao vibaraka mnaojaribu kuwapandikiza humu wamechemsha. Hili ni chama la wazalendo, wasomi wa kweli wasiobabaika na chips kuku!!!Ondoa ujinga wako hapa. Kampeni ni za mgombea wa CCM siyo za Lowasa. Mbona CHADEMA kuna makundi na hamusemi? Kuna kundi la mbowe na kundi la Zito. Dr Slaa yupo kama popo tuu kila kitu yeye anakubali tuu hasa analolisema Bwana Mkbwa Mbowee
acha hasira mkuu, bado Nape tu naye soon atajiunga na kambi ya lowasa kwa ajili ya mkate wake wa after 2015