Edward Lowassa Mwaka 2015 ataingia Ikulu au Segerea?

Edward Lowassa Mwaka 2015 ataingia Ikulu au Segerea?

galiya

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
302
Reaction score
133
Ndugu zangu, leo naomba tuweSERIOUS na tutoe maoni ya maana katika mustakabali wa taifa letu. Kwakuwa 2015 inakaribia na kwakuwa hata CHADEMA wanajua fika Rais atatoka CCM na kwakuwa tukimchagua Rais feki ndio itakuwa imekula kwetu kwani atakaa madarakani hadi 2025, hivyo basi tuchangie maoni kuhusu kufaa au kutofaa kwa ndugu yetu EDWARD NGOYAI LOWASSA aka LAIGHWANAN.Kuna makundi mawili yanayomuhusuhuyu bwana. Moja ni la wale wanaomuunga mkono kwa asilimia 100. SABABU ZAO KUMI za kumuunga mkono na kuona anafaa kwendaIKULU ni hizi

  1. Nimchapakazi hodari
  2. Sio mwoga wala mnafiki
  3. Nimwepesi kutoa maamuzi magumu sio kama viongozi wengi wa CCM
  4. Nimbunifu wa mikakati, mpenda maendelea na ndio maana jimbo lake la Mondulilimepiga hatua kubwa kimaendeleo
  5. Nimwepesi kutafuta njia mbadala mambo yanapokuwa magumu
  6. Anafikra mpya za kisasa, ni mkali sio mtu wa kuchekacheka
  7. Anathaminisana umuhimu wa vijana na elimu
  8. Nimtu wa watu na anafanana sana na kipenzi chetu EDWARD SOKOINE
  9. Siomtu wa kukaa ofisini bali huzungukia kwa wananchi kujua na kutatua matatizo yao
  10. Anauzoefu mkubwa wa masuala ya uongozi na masuala ya Kimataifa

Kundi la pili ni lile la watuwasiomuunga mkono ambao wanaona na kuamini kwa asilimia 100 kwamba LOWASSAhafai kwenda Ikulu bali anapaswa mwaka 2015 kwenda SEGEREA. Hoja zao KUMI zakuwa na mtazamo huo ni hizi hapa:
  1. NiFisadi numero uno hapa TZ
  2. Nimla rushwa mkubwa
  3. Nimtu mwenye kuamini ili uwe kiongozi lazma uhonge wapiga kura
  4. Nimtu anaeamini ili yeye mambo yake yawe mazuri lazma ihonge ili wapinzani wakewasipate kura za kutosha kama alivyofanya kwa Sumaye (Hanang) na akafanikiwa ambapoMARY NAGU alishinda na kama alivyotumia mabilioni kwa MEMBE-NEC Dodoma iliMEMBE asipite lakini familia ya JK na wengine wakamzidi LOWASA ujanja.
  5. Nimpiga dili mkubwa-akiwa kitengo cha mafaa kwa PM alipiga dili za kufa mtu,akiwa AICC alifanya hivyohivyo, akiwa Waziri wa Ardhi miaka ya 1990s aliwauziawahindi viwanja kwa mamilioni ya fedha na kutajirika vibaya sana. Kwa kugunduliwaoil and gas, jamaa akiingia MAGOGONI atapiga dili za kufa mtu.
  6. LOWASSAhafuati Rule of Law ambapo anaweza kuwafukuza wateuliwa wa Rais katika mikutanoya hadhala
  7. Nimtu mwenye chuki kali kwa wote wanaepingana nae na ana visasi sana
  8. Hapendikukosolewa
  9. Nidikteta
  10. Anauchu mkubwa wa kwenda Ikulu ambapo nimahala patakatifu lakini yeye na genge la marafiki zake "FRIENDS OF LOWASSA" wanatakakwenda kupageuza IKULU kuwa mahala pabiashara na kupiga madili.Haya ni maoniambayo kwa kipindi kirefu sasa yamekuwa yakisemwa na makundi haya mawili.ANGALIZO- Inawezekana mambo yote hapo juu sio ya kweli hivyo nawatakeni GREATTHINKERS mtoe mawazo yenu KWA HOJA NASIO KUTOA MAPOVU KAMA MMEKUNYWA OMO.JE EDWARD NGOYAI LOWASSA aka LAIGHWANAN ANAPASWAKWENDA IKULU AU SEGEREA?THE BALL IS INYOUR COURT.
 
Hakuna wa kumzuia lowasa kuingia ikulu mwakani
 
Hizi ndio naziita povu. Mi nataka hoja wajameni
 
Lowassa ni mtendaji sio mtu wa maneno mengi,95% utendaji na 5% maneno wao sema fisadi hawana hoja Bali ni chili binafsi history yake ya utendaji inambeba Lowassa,linapokuja suala la kutumikia wananchi hana ushikaji.
 
Kama mnasema Lowassa fisadi basi Viongozi wote wa serikali mafisadi maana hakuna masikini.Tabu yenu waswahili mtu akiwa na hela Fisadi!
 
KAKA
una maan mtu akijita LAKI SI PESA ni sawa na TAARABU?
 
kwani nyie ni akina nani mnaoamini lowasa LAZMA aende ikulu?
 
upo uwezekano wa lutokomeza rushwa kwenye chaguzi?
 
Hoja zao KUMI zakuwa na mtazamo huo ni hizi hapa:
  1. NiFisadi numero uno hapa TZ
  2. Nimla rushwa mkubwa
  3. Nimtu mwenye kuamini ili uwe kiongozi lazma uhonge wapiga kura
  4. Nimtu anaeamini ili yeye mambo yake yawe mazuri lazma ihonge ili wapinzani wakewasipate kura za kutosha kama alivyofanya kwa Sumaye (Hanang) na akafanikiwa ambapoMARY NAGU alishinda na kama alivyotumia mabilioni kwa MEMBE-NEC Dodoma iliMEMBE asipite lakini familia ya JK na wengine wakamzidi LOWASA ujanja.
  5. Nimpiga dili mkubwa-akiwa kitengo cha mafaa kwa PM alipiga dili za kufa mtu,akiwa AICC alifanya hivyohivyo, akiwa Waziri wa Ardhi miaka ya 1990s aliwauziawahindi viwanja kwa mamilioni ya fedha na kutajirika vibaya sana. Kwa kugunduliwaoil and gas, jamaa akiingia MAGOGONI atapiga dili za kufa mtu.
  6. LOWASSAhafuati Rule of Law ambapo anaweza kuwafukuza wateuliwa wa Rais katika mikutanoya hadhala
  7. Nimtu mwenye chuki kali kwa wote wanaepingana nae na ana visasi sana
  8. Hapendikukosolewa
  9. Nidikteta
  10. Anauchu mkubwa wa kwenda Ikulu ambapo nimahala patakatifu lakini yeye na genge la marafiki zake “FRIENDS OF LOWASSA” wanatakakwenda kupageuza IKULU kuwa mahala pabiashara na kupiga madili.Haya ni maoniambayo kwa kipindi kirefu sasa yamekuwa yakisemwa na makundi haya mawili.ANGALIZO- Inawezekana mambo yote hapo juu sio ya kweli hivyo nawatakeni GREATTHINKERS mtoe mawazo yenu KWA HOJA NASIO KUTOA MAPOVU KAMA MMEKUNYWA OMO.JE EDWARD NGOYAI LOWASSA aka LAIGHWANAN ANAPASWAKWENDA IKULU AU SEGEREA?THE BALL IS INYOUR COURT.

Hizo hoja zenye red ndio zimenihamasisha kuona kuwa anafaa zaidi
 
Back
Top Bottom