Edward Lowassa; Mtanzania aliyeshambuliwa, kudhalilishwa na kukosa haki ndani ya nchi

unakosea sana nadhani wewe ni mgeni wa siasa za Tanzania,Lowassa kaanza kuitwa fisadi na ccm baadae dr slaa na zitto wakadandia hoja nakusambaza upuuzi huu kwa kila aliye kuwa hana uelewa watuhuma zidi ya lowassa

Bado hujaonesha ushahidi wa yeye kuwa si fisadi
 
malezi bora ndio msingi,hii inaonyesha jinsi gani mzee familia aliyo toka ilivyo kuwa na maadili na uadlifu pia imempelekea yeye kutengeneza familia yenye maadili, nadhani kupita familia zote za wanajamii wanao tajwa na kuoneka sana kwenye midia hapa bongo...!!!watu waamna hii always huw washindi sababu mambo mengi humwacha muumba apigane na adui anae kushambulia
 
Walioanza kumuita Lowasa Fisadi ni CDM.....nashangaa wameacha kumuita hivyo bila kumpeleka mahakamani.....sisi tutaendelea kumuita hivyo mpaka yeye mwenyewe ajisafishe kwa ushahidi......uchafu ukiutoa chooni kisha uuweke sebuleni utanuka zaidi

Chooni ni wapi. Na kilichobakia chooni ni nini? Toka useme Si unajua kusema.
 

Attachments

  • 1441985757767.jpg
    1441985757767.jpg
    24.6 KB · Views: 141
Kwa nini Lowasa na CDM hawazungumzii ufisadi kwenye mikutano yao?......

Na wewe twambie kwa nini matangazo na hotuba zote ni chagua Maghufuri. Hamna mahali kuna chagua ccm. Kwa nini? Mnasita nini kuipigia upatu ccm?
 
ushaidi upi unaoutaka labda,wewe unae tuhumu leta ushahidi wako hapa

Huna tofauti na huyu.....

public doc bunge la tisa chini ya Mkt mwakyembe zinaonesha Lowasa alihusika katika kufisadi taifa hili katika mkataba tata wa Richmond....mpaka leo hajajitetea zaidi ya kuzira tu.....huo ndio ushahidi.
 
Tanzania haina utamaduni wa kupeleka mahakamani mafisadi. Mbona hata CHADEMA wanapiga makelele tu eti CCM mafisadi. Kuna hata mmoja ambaye wameshampeleka mahakamani? Hata Joka Makengeza ambaye ushahidi uko wazi kabisa? Au huyu aliyekiri kuwa alipewa pesa za mboga tu?

Ccm na mfumo wao mbovu hawana uwezo wa kufunga mtu yeyote, kama ndo hivyo hawa watu kuna haja gani ya kuwapatia ridhaa? wananchi wasema fisadi, upinzani fisadi, hata ccm na serikali yake inasema fisadi? nani ambae anatakiwa kusaidia mwenzie? nani ana dola? ni aibu na ujinga kwa ccm kusema lowasa fisadi wakiwa na dola. ni nani mwenye mandate ya kupeleka fisadi mahakamani upinzani au serikali (ccm)? nani anatoa mandate ya jambo hili lichunguzwe, ni serikali ya ccm au upinzani? haya yote ni serikali tawala ya ccm ndo inatakiwa ifanye, sio upinzani.kama ndo hivyo je Nape, mwakyembe, sita kusema lowasa fisadi ni sahihi? jibu sio sahihi. Pigeni chini hii CCM JANGA LA TAIFA.
 
Amenenewa mabaya sana lakini akifunua kinywa chake ananena juu ya mabadiliko na sera na hajajibu wala kulipiza! Tunahitaji raisi wa namna hii, mwenye utu na hulka ya ukomavu kama huyu. Kweli Lowasa anatosha!!
 
G Sam

Mtu anatumia almost 12 minutes kutoa matusi na kumchafua mgombea wa upinzani na watu wanafuraia kbs, naungana na mkapa kuwesema kweli watz ni wapumbavu na malofa. Ndyo maana maana wazungu wanatuona sisi kama siyo binadam. Mtu alikuwa waziri mkuu leo hii vijana wadogo wanamtukana kama mtito mdogo kwa kwel tanzania nchi yangu pamoja na viongozi wake ni watu wa ajabu sana.
 
Last edited by a moderator:
Yote wanayoyafanya CCM juu ya Lowassa kwa sasa ni yale yale waliyoyafanya CHADEMA toka 2007 juu ya huyu mzee.

Mbona hukuandika haya kipindi viongozi wako wakiyasema haya haya?

Hivi sasa mnamtukana Slaa mbona huandiki hekaya kama hizi juu yake?

Acheni unafiki.
 
Na wewe twambie kwa nini matangazo na hotuba zote ni chagua Maghufuri. Hamna mahali kuna chagua ccm. Kwa nini? Mnasita nini kuipigia upatu ccm?

Mimi sio CCM.....ila ninachojua ccm pamoja na fisadi Lowasa ndio waliotufanya tuwe masikini.....uchafu hausafishwi na uchafu
 
Acheni kutafuta huruma za kinafiki.

Lowassa ni miongoni mwa watanzania wachache wanaokula mema ya nchi hii.

Hii nchi tupo hapa sababu ya watu wachache aina ya Lowassa.

Kumwonea huruma Lowassa ni sawa na kumkashifu bibi yangu kijijini ambaye mpaka leo hata umeme haujui.!

wewe ni wa upande ulee bila shaka.
 
Lowasa Uko Juu Wewe Ndio Jembe, Ukiona Mtu Anakupaka Matope Ujue Wewe Uko Juu Anajitahidi Kukushusha Muwe Sawa, Kura Yangu Na Ndugu Yangu Wote Ni Yako
 
ccm wanaweweseka, wanapolisi, mahakama, Takururu kwa nin wasimpeleke mahakamani? chama tawala kimekuwa kama chama cha upinzani? nani mtawala? chadema au ccm? chadema haina jukumu la kumpeleka waziri yeyote mahakamani kwa tuhuma za ufisadi, wao kazi yao ni kuibua ufisadi, na serikali kufanya uchunguzi na kuchukua hatua sitahiki. Kwani wezi hamjui mahali walipo? iba kuku uone utapelekwa wapi. kwa hivyo ccm achenk kudanganya watu kuwa lowasa fisadi.

Anaejion shujaa UKWA< ndio aanze. Wansheriahu tuaidieni. Mtu akusemea ,Kitu cha uongo si unamshtaki. Lowasa hebu weka mwana sharia,nafahamu u tajiri sana unaweza hata ukaimport wanasheria. Hebu washtakiwanaokusingizia wewe ni fisadi. Ili tuuujue ukweli.

 
Back
Top Bottom