Juma Hamis
Member
- Mar 15, 2012
- 60
- 9
Ndugu zangu wana JFR,vita kati ya haki na uovu,mema na rushwa,uadilifu na ufisadi.Vita hivi vyote vinaweza kufanyika kwenye uwanja mmoja wa mapambano lakini hakika yake ni kwamba wale walio kwenye upande wa haki,mema na uadilifu lazima watashinda tu,haijalishi ni kwa kiasi gani waovu watakuwa na vitisho kwa sababu hawana nidhamu ya vita lazima watashindwa tu,Lowasa ni nani kati ya Watanzania mamilioni waliowaadilifu mpaka awachafue kwa rushwa na ufisadi,ninachojua nikiwa Mtanzania wenya akili timamu Lowasa hawezi tena kuendelea kuliharibu taifa letu,ni vyema kwa wale waliokaribu naye wakamshauri akajitakase ili asubiri haki yake mbiguni,Tanzania ni zaidi ya CCM na Lowasa.
Utakuwa ni wenda wazimu tu kwa mtu anayesihi ana akili timamu kuendelea kumshabikia Lowasa kwenye urais,hivi watanzania wa kumsikiliza Lowasa kwenye kampeni watatoka wapi,ni bora tukawa na tawsira kati ya LOWASA na Dr SLAA nani atasikilizwa na wananchi,Lowasa akipitishwa na CCM,sisi watanzania wapenda haki tutajiandaa kufanya kila liwezekanalo kuhakikisha kuwa nchi iko mikononi salaama na kwa watu waadilifu lakini si Lowasa hata kama itakuwa ni kwa kumwanga damu ni bora vita ya miaka sita kuliko kuwa na Lowasa ikulu hata kwa miaka miwili.