Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowassa amesema ataendelea kumuunga mkono Uhuru Kenyatta katika uchaguzi wa marudio kwasababu anaheshimu demokrasia na yupo tayari kwenda kumfanyia kampeni.