Edward Lowassa: Bado nitamunga mkono Uhuru Kenyatta katika uchaguzi wa marudio

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,898
Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowassa amesema ataendelea kumuunga mkono Uhuru Kenyatta katika uchaguzi wa marudio kwasababu anaheshimu demokrasia na yupo tayari kwenda kumfanyia kampeni.
 
Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowassa amesema ataendelea kumuunga Mkono Uhuru Kenyatta katika uchaguzi wa Marudio kwasababu anaheshimu demokrasia na yupo tayari kwenda kumfanyia kampeni
Arudishe pesa kwa Kenyatta. Walimdanganya kuwa system ya uchaguzi ni Super kuwa hakuna awezaye kujua chochote cha wizi wa kura kilichofanyika. Sasa limeburunguka lowasa na team yake wawa refund hela akina Kenyatta
 
sikuizi kumbe vijana wa lumumba mnaota huku mnatembea Hongereni sana
 
Mimi pia namuunga mkono baba wa democracia afrika. Tena ikiwezekana wamuombe atawale miaka 100

‍♂️naenda zimbobo.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowassa amesema ataendelea kumuunga Mkono Uhuru Kenyatta katika uchaguzi wa Marudio kwasababu anaheshimu demokrasia na yupo tayari kwenda kumfanyia kampeni
Amekumbuka kulaani wizi uliofanyiwa wapinzani? Ama anasubiri ya maalim seif pekee?
 
Nami namuunga mkono Kenyatta. Anaheshimu utawala wa sheria. Siyo huyu mbumbu wa utawala wa sheria toka Chato. Huyu wa kwetu ana ushamba wa madaraka. Lione bichwa lake.
 
Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowassa amesema ataendelea kumuunga mkono Uhuru Kenyatta katika uchaguzi wa marudio kwasababu anaheshimu demokrasia na yupo tayari kwenda kumfanyia kampeni.
Hana impact yoyote Kenya. Apambane na hali yake ya kumuondoa Magufuli kitu ambacho ni sawa na kuhamisha Mlima Kilimanjaro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom