Hahaha poa ili kwenda na vina[emoji106]Anzia na E ndiyo inanoga[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haya na nyumbu nao watabadilisha na kufuata kupongeza maadamu aliyeshika akili zao keshasema, utamuona Tundu, Mbowe, Msigwa, na takataka wengine wakibadilisha mawazo!
Nyumbu wenye upumbavu wa kushangilia na kupelekwa kama kondoo Wako LumumbaHaya na nyumbu nao watabadilisha na kufuata kupongeza maadamu aliyeshika akili zao keshasema, utamuona Tundu, Mbowe, Msigwa, na takataka wengine wakibadilisha mawazo!
Ni kweli alikuwa akipga kelele kwa wakati huo. Lakini kwa sasa ni mtetezi mkubwa wa hao majizi. Sababu ya kuwatetea anaijua yeye.Ni ujuha kusema lisu anatetea majambazi na mafisadi. Wakati bungeni alipiga kelele za kutosha.
Juzi tu wanaoshadadia hili suala walipeleka mswada wa gesi ukapita kwa dharura. Lisu alipiga kelele akaitwa mnafiki na si mzalendo. Magufuli ataondoka Athari zitajitokeza hili nalo visingizio vitatafutwa.
Kumbe na humu upo huwa nakusoma tu kule. Hongera mkuuNi ujuha kusema lisu anatetea majambazi na mafisadi. Wakati bungeni alipiga kelele za kutosha.
Juzi tu wanaoshadadia hili suala walipeleka mswada wa gesi ukapita kwa dharura. Lisu alipiga kelele akaitwa mnafiki na si mzalendo. Magufuli ataondoka Athari zitajitokeza hili nalo visingizio vitatafutwa.
Nimesoma uzi wa lisu nimemwelewa saana. Yule ni mpinzani usitegemee amshauri magufuli kama Majaliwa atakavyo mshauri.Ni kweli alikuwa akipga kelele kwa wakati huo. Lakini kwa sasa ni mtetezi mkubwa wa hao majizi. Sababu ya kuwatetea anijua yeye.
Nasoma saana humu sema ku-comment.Kumbe na humu upo huwa nakusoma tu kule. Hongera mkuu
Mambo ya utunzi wa mashairiHahaha poa ili kwenda na vina[emoji106]
Hapana Kuna Vyeo Kama ukivishika Utaendelea kuwa navyo
Balozi Hamis Kagasheki
President Obama
Secretary Hillary Clinton
Waziri Mkuu Lowassa
Judge Lubuva
President Bush
President Kikwete
Rais Mwinyi
Haki ya nani unafiki umezidi leo hii unamwita waziri?Waziri Mkuu wa awamu ya 4 Ampongeza Dr. John Magufuli.