Kati ya watu ndani ya CCM kidogo nilikuwa nawaheshimu huyu ni mmoja wapo,ila baada ya kitendo alichokiandaa kule Makuyuni dhidi ya Nassari nimemdharau kabisa.
Kama nitasikia siku moja pale ninapo abudu kuna harambee na wanamwita yeye,nitapinga kwa nguvu zote mtu mwenye mipango yakutaka kuua kiongozi mwenzake kupewa heshima hiyo. Kumbe ndani ya chama hicho wote ni walewale tuu
ni ukoo wa panya