Edward lowasa bungeni

Edward lowasa bungeni

nakuru

Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
88
Reaction score
22
Nimekuwa nafuatilia vikao vya bunge mara nyingi lakini sijamsikia Lowasa akichangia lolote kwa jimbo lake au Taifa, ni nini anachofanya bungeni? au anasubiri posho ziingie!
 
Inaonekana jimboni mwake richmond zimeenea kwa madiwani na watendaji wa kata na vijiji ndio maana hawathubutu kupanua hata midomo yao! Maana kama anatoa 10m kwa makanisa na misikiti atashindwa kufanya hivyo kwa watendaji wetu na madiwani walijaa shida tena kwa hela kidogo tu?
 
Anaumwa hujui Hilo? Ana ugonjwa wa kisukari kwa MUDs mrefu na hivyo macho take hataoni vyema. Msameheni.
 
Nimekuwa nafuatilia vikao vya bunge mara nyingi lakini sijamsikia Lowasa akichangia lolote kwa jimbo lake au Taifa, ni nini anachofanya bungeni? au anasubiri posho ziingie!

yule yeye anasubiliaga kwenye harambee kwenye nyumba za ibada ndo aongee.

anajifanya ana uchungu sana na elimu ya tanzania.

kwanza namdai:

1. ile mvua ya kutengeneza sijaiona.
2. alienda new zealand kujifunza kilimo cha mchicha lakini hana hata bustani ya mlenda kwake.

so kabla hajagusa ishu nyeti kama elimu, aanze kwanza kutekeleza hizo mbili.
 
hebu tuacheni unafiki hivi kweli kama kuna watu ambao wanasikiliza hotuba za majumuisho ya bajeti za wizara huwa hawasikii akitajwa?? karibu kila wizarakatajwa kachangia kwa maandish na hushukuruwa sasa mlitaka hadi asimame aseme ndipo mujua kachangia??

Lowassa sio mtu wa kusimama na ktoa povu kama hao wajinga wengine eti kwa kivuli cha kuwatete wananchi kumbe wanawaangamiza, the guy is smart and he knows how to play his cards well.
 
Nafikiri muda wote anapiga mahesabu ya kuchaguliwa na ccm kuwa mgombea wa urais lakini namhurumia kwani ili cc iliyowekwa na JK ni ya kumchinjia baharini, hivyo hatafika nec ambayo ndo tegemeo lake, pole sana kakaangu EL, nakushauri uanze kupanga karata zako upya tena mapema!
 
Kati ya watu ndani ya CCM kidogo nilikuwa nawaheshimu huyu ni mmoja wapo,ila baada ya kitendo alichokiandaa kule Makuyuni dhidi ya Nassari nimemdharau kabisa.
Kama nitasikia siku moja pale ninapo abudu kuna harambee na wanamwita yeye,nitapinga kwa nguvu zote mtu mwenye mipango yakutaka kuua kiongozi mwenzake kupewa heshima hiyo. Kumbe ndani ya chama hicho wote ni walewale tuu
 
Nimekuwa nafuatilia vikao vya bunge mara nyingi lakini sijamsikia Lowasa akichangia lolote kwa jimbo lake au Taifa, ni nini anachofanya bungeni? au anasubiri posho ziingie!​

  • Kaka unakosea lowasa huwa hasaini posho bungeni alishakataaga kupokea posho ana miaka sita sasa ajapokea posho ya kikao chochote cha bunge na huwa ategemei kupga kelele bungen apate miradi jmbon anatumia ela ya mfukoni kwa kfup tu kwa sku vodacom kama shareholder mkuu anapata 1.2 bilion inapogonga saa sta usku upo???? tujadli hoja
 
NAKURU; Nafikiri muda wote anapiga mahesabu ya kuchaguliwa na ccm kuwa mgombea wa urais lakini namhurumia kwani ili cc iliyowekwa na JK ni ya kumchinjia baharini, hivyo hatafika nec ambayo ndo tegemeo lake, pole sana kakaangu EL, nakushauri uanze kupanga karata zako upya tena mapema!


Najua kusudi lako la kuleta hoja ni ili sasa kawaambie waliokutuma joka la mdmu mzee wa kung'oa meno na kucha na sta hawamuwez lowasa na ategemei ccm tu kugombea urais na ndan ya ccm nec na cc yote ni yake kuanzia JK,SOPHIA SMBA, MWKT,WA UVCCM, MWKT JUMUIYA YA WAZAZI, MAMA TBAIJUKA, SEIF WA ZENJ,KARUME, SHEIN, SPKA ETC...Upo alshapanga karata ktambo
 
yupo focused na issue moja tu urais uraia urais urais urais urais urais urais tu basi.
 
GFSON WIN ; hebu tuacheni unafiki hivi kweli kama kuna watu ambao wanasikiliza hotuba za majumuisho ya bajeti za wizara huwa hawasikii akitajwa?? karibu kila wizarakatajwa kachangia kwa maandish na hushukuruwa sasa mlitaka hadi asimame aseme ndipo mujua kachangia??

Lowassa sio mtu wa kusimama na ktoa povu kama hao wajinga wengine eti kwa kivuli cha kuwatete wananchi kumbe wanawaangamiza, the guy is smart and he knows how to play his cards well
.

Ts true na upo ryt...lowasa ni jembe dogo nasari alkurupuka atulie siasa si dsko uanaloweza kucheza unavyotaka ata jmbon kwake wamemchoka hajafanya ktu
 
yupo focused na issue moja tu urais uraia urais urais urais urais urais urais tu basi
.

kupanga ni kuchagua nafkr amefanya vzuri kuwa na kpaumbele kmoja dn vngne vfate si kufanya kila ktu at de same tym ndio viongoz tunaowataka
 
yule yeye anasubiliaga kwenye harambee kwenye nyumba za ibada ndo aongee.

anajifanya ana uchungu sana na elimu ya tanzania.

NG'WANANGA;kwanza namdai:

1. ile mvua ya kutengeneza sijaiona.
2. alienda new zealand kujifunza kilimo cha mchicha lakini hana hata bustani ya mlenda kwake.

so kabla hajagusa ishu nyeti kama elimu, aanze kwanza kutekeleza hizo mbili.

NAFURAI KWA KUTAMBUA UBUNIFU WA LOWASA..ALIONDOKA KABLA AJATEKELEZA AHAD HZO AHAD KUU YA SHULE KILA KATA NDIO ILKUWA TAYAR, AKNA STA AMBAO WEWE NI MFUAS WAO WALIOKUWA NA UROHO WA KUNYMWA UWAZRI MKUU NA KNA MEMBE WALIOKUWA NA HASRA ZA KUPEWA UNAIBU WAZR HAWAJAMFTINI...ILA LOWASA AMERUDI KWA KASI KUBWA OUR PRESDENT 2015 IS EDWARD LOWASSA
 
BABA JUNJO; Anaumwa hujui Hilo? Ana ugonjwa wa kisukari kwa MUDs mrefu na hivyo macho take hataoni vyema. Msameheni.

Si kosa lako ni kosa la umaskini wako kufanya chek up si kuumwa tatzo mmeshazoea mpaka muwe mahututi ndio mtaenda hosptal lowasa yupo strong na tayar kwa vta ya urais mpooooooooooooo.....lowasa 2015
 
Hii ni sawa na kusema wanapokutana G8 mbona israel huwa haipo, haiwezi kuwepo kwa sababu israel ndio wanaomiliki dunia wale G8 ni watoto wake. Kwa maneno mengine asilimia tisini ya wabunge wa CCM ni wapambe wa Lowasa kwa nini ujichoshe wakati umezungukwa na wapambe kila kona.
 
Back
Top Bottom