hilo ndio tatizo la kutumwa kumchafua mtu fulani humu kwenye jamii forum...hivi hatuna mambo ya mendeleo kujadiliana hadi ionekane mi-comment yako tu kumponda jembe la pccb hosea...!!! kweli mwenye macho haambiwi aone, mijenerali ya jeshi la wananci tumeishuhudia ikipandishwa kizimbani siku chache zilizopita, hivi katika historia ya bongo lini iliwahi kutokea mijenerali ya jeshi ikaguswa...jamaa amethubutu; mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni wajameni...tuache kuwasemea wehu wanaotutuma kuchafua watu humu...