Photoentry ni file ambayo unatengeza unaweka picha za passport zenye ukubwa wa file kb 4 tu na vipimo vya urefu na upana vilivyoelekezwa na NECTA.Tatizo ni kuedit hzo picha mpaka kb 4 tu kutoka zaidi ya 300kb

Hata mm nahitaji kuifahamu hiyo ya kuconvert picha nyingi kwa pamoja .God bless yousoftware nyingi ikiwemo photoshop inafanya hivyo, baadae jioni kuna software nitaijaribu nikupe inaconvert picha zote kwa pamoja
Ni kwa matumizi yako binafsi au shule ninayo ambayo ni kwa ajili ya shule inafanya vyote hvyo hadi transaction history kama malipo ya adaNaomba msaada, nawezaje kupata Application ya PC Windows yenye uwezo wa kutengeneza matokeo ya wanafunzi (form 1 hadi 6), na pia kama inauwezo wakutoa report forms?
Vile vile nahitaji application ya kutengeneza photo entry za form 2, 4 na 6 kulingana na format ya NECTA.
Photoentry ni file ambayo unatengeza unaweka picha za passport zenye ukubwa wa file kb 4 tu na vipimo vya urefu na upana vilivyoelekezwa na NECTA.Tatizo ni kuedit hzo picha mpaka kb 4 tu kutoka zaidi ya 300kb
niceNi kwa matumizi yako binafsi au shule ninayo ambayo ni kwa ajili ya shule inafanya vyote hvyo hadi transaction history kama malipo ya ada
Unauza?Ni kwa matumizi yako binafsi au shule ninayo ambayo ni kwa ajili ya shule inafanya vyote hvyo hadi transaction history kama malipo ya ada
Ndio kaka tunaweza onana nikuonyeshe demostrationUnauza?
BeiNdio kaka tunaweza onana nikuonyeshe demostration
Inategemea na ukubwa wa shule maana hiyo application inahusisha vitu vifuatavyo: