Aaron
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 3,019
- 4,693
matokeo ya kidato cha sita ndo hayo tayari... Ushauri wangu kwa wana jf tuwe na ushauri mzuri kwa wale waliopata makeo kama unahisi hauna uelewa kwenye jambo fulani plz usitumie mda wako kuwakatisha tamaa ndugu zetu wanaoomba msaada wa mawazo kulingana na matoke... Najua mnajua matokeo yanavyoumiza kwa hyo jf iwe sehemu ya kupata ushauri mzuri na si kukatisha tamaa..