Salamu wadau wa jukwaa adhimu LA elimu hapa jf hivi kwanini elimu yetu haimuwezeshi MTU kujiajiri wengi tulidhani kwenda masomo ya sayansi ndo njia rahisi kuajiliwa lakini wengi wanaishia kuwa walimu wa tuition centre .kama mdau toa suluhu elimu yetu inakosea wapi?

Elimu yetu haifundishi mtu kujiajiri ila elimu yetu inamfundisha mtu kuajiriwa.
Pia muundo wa Serikali haumpi nafasi mtu kuweza kujiajiri kutoka na makato mengi na process nyingi mpaka kuwezakufungua kijimradi chako jambo ambalo linapelekea mtu awe na Mtaji mkubwa. Kitu ambacho wengi hufeli apo.