PASSIONATE
Member
- May 20, 2015
- 69
- 27
Kuna haja kubwa ya ku structure elimu kuokoa jahazi la graduate walio wengi wanaohitimu vyuo vikuu wakiwa na matumaini lukuki kwenye ajira za TRA na taasisi nyinginezo zenye mtonyo mrefu bila hivyo itakua ni maumivu makali kwa vijana hawa.