Edinson Cavani adhalilishwa

Edinson Cavani adhalilishwa

Cavani hakumpiga kofi wala nini...... Ila jamaa kafungiwa kucheza Copa America.

Uruguay kisasi kimewarudia. Alichofanya Suarez South Africa kwenye kombe la dunia kwa kudaka mpira wa Goli wakicheza na Ghana, iliuma sana.

Suarez-Handball.jpg

Maradona alipofunga goli la mkono Argentina toka hapo inacheza lkn haibebi kombe,Thiery Alitumia mkono toka hapo Ufaransa ni tia maji tia maji,Uruguay Suarez alidaka mpira kwa mikono hawa nao laana itaendelea kuwatafuna
 
Kibao hakitoshi.Angempiga sita za usoni ili kutoa funzo kwa wengine wenye tabia hii chafu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom