Edgar Chilla Tenga tuweke wazi juu ya Matumizi ya TFF. TFF sio BUZWAGI

Kuntakinte

JF-Expert Member
May 26, 2007
701
31
Nimejaribu kumsikiliza mheshimiwa leo kwenye vyombo vya Habari naona kama anatuzungusha kwenye Mbuyu halafu hata hatupandii. Nimeona anaongelea kuhusu simu anazipata kutoka kwenye Mataifa tofauti duniani kuhusu Uwanja na taratibu zake.

Ki ukweli mimi napenda kumshauri kwanza kabla ya yote ya Kupigiwa simu angetuambi kuhusu Makusanyo yalikuwaje kuanzi mechi ya Taifa Star na Uganda na ile ya Taifa star na Msumbiji maana mdogo wangu ni mmojawapo wa waliolipa 50,000 na kukosa seat na wapo wengi tuu ambao wamehojiwa na Seki kwenye Kipindi cha City Sound na ilikuwa Live wakati wa mechi ya Msumbiji na Stars walikosa seat VIP licha ya kutoa hela kubwa na kinachowazingua watanzania wengi kuna mapato yamepatikana kwenye Parking za Magari hayajatolewa mchakato wake maana idadi iliyotolewa ilikuwa ni pato zima la seat tuu na parking imekuwa excluded sasa sijui hata MAPATO NAYO YAMEKUWA KAMA MKATABA WA BUZWAGI. Tukianza mnasema ooh wakina Zitto wameanza tunataka kuelewa maana tunahaki kama tunavyolilia mengi kujua.

HATUTAKI USIRI KWENYE HAKI YETU, SISI NDIO TUNALIPA HIZO HELA BADO MNATUFICHA MPANGILIO WA KILICHOPATIKANA. JE TUTAFIKA?
 
Back
Top Bottom