Edeni guest-amri.

tisa desemba

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
434
114
nipo hapa Edeni Guest-Mtwara, nikiwa ndani ya chumba nilicho'lodge ghafla nakutana na hizi AMRI,
eden guest.JPG
najiuliza WHY uongozi wa guest umeamua kuziweka (hasa na.5). coz nimezoea kuona maagizo ya kawaida kwenye guest zingine, kama ya kuzingatia usafi, kukabidhi vitu vya thamani mapokezi, kukabidhi funguo mapokezi, n.k kuna nini hapa....
 
Teh ya pemba hii hapa
Picture206.jpg
Ila nayo niliikubali sana na wako serious mbaya juu ya hili
 
safi sana wako serious na maadili kwa kweli big up kwa owner wa hiyo Hotel
 
wameweka hizo kwa sababu zinagusa wateja wengi hasa (wageni wenyeji)
 
Back
Top Bottom