Eddy kenzo beats Diamond Platnumz and chameleone in kora awards Africa top 20 artistes.

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
1,193
828
Despite once being Africa's number 6 and East Africa's number one singer, Jose Chameleone has been beaten by Eddy Kenzo who was recently ranked as number 5 among the top African Artistes of week 1in 2017 by Kora Awards.
On the list, Jose Chameleone sits on number 14 while Tanzania's top singer Diamond Platnumz come through in 7th position.
Check out the complete list of the top 20.
460ee7caa6a9758886d4b1f74dd3ac05.jpg
 
Eddy kenzo kampita mond?? Mmh labda wana vigezo vyao .....ila mfano ukiweka show nigeria ukamleta mond nadhan mond atashangiliwa kuliko huyo eddy kenzo
 
Me nakubaliana nao labda msiokubali mjaribu kumfuatilia vizuri Eddy ndio mtangundua kitu
 
Eddy kenzo kampita mond?? Mmh labda wana vigezo vyao .....ila mfano ukiweka show nigeria ukamleta mond nadhan mond atashangiliwa kuliko huyo eddy kenzo
Vitu vingine unatumia akili ya kawaida tu....Dimond kaimba na Davido,P.Square,Flavour,Waje,Blacket,Yemi Alade alafu aende akafanye Show Nigeria asishangiliwe?

Watashangilia nyimbo zake kwa sababu zina sauti za watu wanaowajua na sio kwamba wanamkubali au kumuelewa.

Kwa Eddy ni kitu tofauti hategemei Collabo kusogeza Mziki wake ila Ana tuzo ya BET sebuleni Kwake.
 
unaweza ukawa sahihi.....
 
Hawa kola wanaumwa mavi.. niamini mimi
Hizi tuzo ni za kutilia mashaka. Hivi Diamond unaweza kumlinganisha na Chameleone??!! Inawezekana wanapanga matokeo hawaangalii performance ya mwanamuziki kwa mwaka mzima
 
Back
Top Bottom