Eddo aula NCCR-Mageuzi

Eddo aula NCCR-Mageuzi

Kumbe alikimbilia NCCR - Mageuzi kwa kuwa CHADEMA 'hakuna ulaji'? Hivi kazi yake siyo ya kujitolea na kuwatumikia wananchi?

Poor him

slaa anajitolea kwa kukopa ruzuku za chama
 
hatimaye aliyekuwa katibu wa CHADEMA mkoa wa Mbeya ndugu Edddo Makata ameteuliwa rasmi kuwa Kamishina wa chama cha NCCR-Mageuzi mkoa wa Mbeya.
amechemka mana mby sasa kuna majembe makari mno ndani ya CHADEMA mpaka wanashindwa nani aanze mana timu ipo full atajuta kuhamia nccr
 
Hivyo ni vyeo Vya kienyeji kienyeji, leo mwenyekiti anavitengeneza ili akupe kesho ukimuudhi tu hicho cheo anakifuta na hapo ndio mwisho wako.
 
soma katiba ya NCCR-Mageuzi siyo kuropga na kusikia, mmekalia ushabiki badala ya kuwa na data
Tumwagie humu Ibara ya ngapi ya Katiba ya NCCR inazungumzia cheo cha Kamishina wa Mkoa ili angalau tupate ufahamu sio kusema watu wanaropoka wakati inawezekana pia na wewe ukawa unaropoka pia.
 
Ndio chama pekee kinachoongozwa na Mwenyekiti aliyepata ubunge kwa Hisani ya Rais!
Kwa nini Ben saanane sio wa kupingwa katika komenti yake.....
Aliyechaguliwa na wananchi ni Mwakilishi wa wananchi.....alieteuliwa na Rais bila shaka ni mwakilishi wa Rais bungeni....Rais ni Mwenyekiti wa CCM....Kwa hiyo Mbatia anamuwakilisha Mwenyekiti wa CCM bungeni!
 
Tumwagie humu Ibara ya ngapi ya Katiba ya NCCR inazungumzia cheo cha Kamishina wa Mkoa ili angalau tupate ufahamu sio kusema watu wanaropoka wakati inawezekana pia na wewe ukawa unaropoka pia.
achana naye nasikia alifukuzwa cdm
 
Acha uongo kaka ben, huo ni unafiki. hujui lolote unaropoka tu, soma katiba ya nchi ibara ya 66 ili ukomae kifikra

Who is talking about Katiba?Of all the people,you????

I cant even take you seriously mate. Its like you are one of those conspiracy theorist nut jobs.This is how you sound.

Deo, some one needs to cut your internet access, it has done you wrong.

Huu ushauri nimeamua kumpa Eddo na sikupenda kukupatia wewe.Mko tofauti kabisa kifikra.So don't just punch on your keyboards aimlessly na kuporomosha matusi.Have fun !
 
Ndio chama pekee kinachoongozwa na Mwenyekiti aliyepata ubunge kwa Hisani ya Rais!
Kwa nini Ben saanane sio wa kupingwa katika komenti yake.....
Aliyechaguliwa na wananchi ni Mwakilishi wa wananchi.....alieteuliwa na Rais bila shaka ni mwakilishi wa Rais bungeni....Rais ni Mwenyekiti wa CCM....Kwa hiyo Mbatia anamuwakilisha Mwenyekiti wa CCM bungeni!

wanaume viti maalum, madogo nao wana ndoto wanaume viti maalumu.
 
Maskini,mwache akajaribu kufufua makaburi labda atapata kipya.:help:
 
Back
Top Bottom