chitalula
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 1,302
- 415
wewe ndo unatkiwa kuisoma make ni Chama chako, mimi niisome inisaidie nini? si bora ni kasome magazeti ya Shigongo?
ni kweli bora ya kusoma magazeti ya shigongo kuliko hiyo mikaratasi ya hao jamaa
wewe ndo unatkiwa kuisoma make ni Chama chako, mimi niisome inisaidie nini? si bora ni kasome magazeti ya Shigongo?
soma katiba ya nccr-mageuzi siyo kuropga na kusikia, mmekalia ushabiki badala ya kuwa na data
ndiyo, tena tutashinda kwa kishindo
Mbatia huwa anabuni Vyeo kila siku, KISANDU baada ya Kukimbilia huko kilibuniwa Cheo akapewa, Yaani hata wewe ukihamia huko kitabuniwa Cheo, Unaweza shangaa unapewa cheo cha Mkurugenzi wa NCCR Taifa, au Raisi wa Secretariet ya NCCR Mageuzi Taifa, Mbatia ni Mjanja sana anabuni vyeo kuwafurahisha hao jamaa njaa
NDIYO, tena tutashinda kwa kishindo
Duh! Mkuu una mizaha?!
Acha uongo kaka ben, huo ni unafiki. hujui lolote unaropoka tu, soma katiba ya nchi ibara ya 66 ili ukomae kifikra
Hiki cheo mbona sijakielewa au kimeanzaishiwa kwake tu na vipi majukumu yake