Eddo aula NCCR-Mageuzi

Eddo aula NCCR-Mageuzi

Civilian Coin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
2,305
Reaction score
4,390
hatimaye aliyekuwa katibu wa CHADEMA mkoa wa Mbeya ndugu Edddo Makata ameteuliwa rasmi kuwa Kamishina wa chama cha NCCR-Mageuzi mkoa wa Mbeya.
 
hatimaye aliyekuwa katibu wa Chadema mkoa wa mbeya ndugu Edddo makata ameteuliwa rasmi kuwa Kamishina wa chama cha NCCR-Mageuzi mkoa wa Mbeya.

Kumbe alikimbilia NCCR - Mageuzi kwa kuwa CHADEMA 'hakuna ulaji'? Hivi kazi yake siyo ya kujitolea na kuwatumikia wananchi?

Poor him
 
Pole zake kwa kujichimbia shimo lisilokuwa na mwisho Chadema ndio habari mupya.
 
hatimaye aliyekuwa katibu wa CHADEMA mkoa wa Mbeya ndugu Edddo Makata ameteuliwa rasmi kuwa Kamishina wa chama cha NCCR-Mageuzi mkoa wa Mbeya.

Hongera Eddo Makata.Naamini utabadili muelekeo wa chama chako kinachousaliti upinzani kwa kuendeleza mahaba na CCM.Nakutakia kila lililojema katika uhusiano wako na mwenyekiti wako ikiwa utathubutu kweli kutekeleza haya.
 
Kamishina?? Mh.....haya hongera zake.... Aende akamshauri mwenyekiti wake aache kufanya kazi kwa matakwa ya ccm!..... Akaendeleze upinzani na sio kwenda kuuzika kama anavyofanya mwenyekiti wake...... Kila la kheri Eddo
 
Hiki cheo mbona sijakielewa au kimeanzaishiwa kwake tu na vipi majukumu yake

Mbatia huwa anabuni Vyeo kila siku, KISANDU baada ya Kukimbilia huko kilibuniwa Cheo akapewa, Yaani hata wewe ukihamia huko kitabuniwa Cheo, Unaweza shangaa unapewa cheo cha Mkurugenzi wa NCCR Taifa, au Raisi wa Secretariet ya NCCR Mageuzi Taifa, Mbatia ni Mjanja sana anabuni vyeo kuwafurahisha hao jamaa njaa
 
Kuna mwingine alipewa cheo cha msaidizi maalum wa Mkiti
 
Hongera Eddo Makata.Naamini utabadili muelekeo wa chama chako kinachousaliti upinzani kwa kuendeleza mahaba na CCM.Nakutakia kila lililojema katika uhusiano wako na mwenyekiti wako ikiwa utathubutu kweli kutekeleza haya.
Acha uongo kaka ben, huo ni unafiki. hujui lolote unaropoka tu, soma katiba ya nchi ibara ya 66 ili ukomae kifikra
 
Mbatia huwa anabuni Vyeo kila siku, KISANDU baada ya Kukimbilia huko kilibuniwa Cheo akapewa, Yaani hata wewe ukihamia huko kitabuniwa Cheo, Unaweza shangaa unapewa cheo cha Mkurugenzi wa NCCR Taifa, au Raisi wa Secretariet ya NCCR Mageuzi Taifa, Mbatia ni Mjanja sana anabuni vyeo kuwafurahisha hao jamaa njaa

soma katiba ya NCCR-Mageuzi siyo kuropga na kusikia, mmekalia ushabiki badala ya kuwa na data
 
Back
Top Bottom