Eda Sanga na uongo wa waandishi wa habari

LE GAGNANT

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
1,241
251
Jumanne ya tarehe 3 may, eda sanga alitoa maoni kupitia tbc1, kama mwanahabari mstaafu, kuadhimisha siku ya habari, kuwa habari zinazoandikwa siku hizi zote ni za uongo. Nataka kumjuza kuwa enzi zao za kuripoti habari za mabwana zao huku wakinukuu "hayo yalisemwa na..." zimekwisha. Hizi ni enzi za habari za uchambuzi, na siyo kufanywa vinywa vya wakubwa wao.
 
Ni mtazamo wake kama mwananchi wa kawaida maana ana haki ya kutoa maoni na kueleza fikra zake kwa mujibu wa katiba ya JMT ya mwaka 1977 ibara ya 18(a).
 
Back
Top Bottom