ECOWAS yaamuru kupeleka Jeshi Niger

Waoga... walitoa deadline last week mpaka leo kimya. Na saizi tunasubiri, lakini nataka nikuhakikishie kua ECOWAS hawatoingia kujeshi pale Niger.

Nyakati zinabadilika, this time around wanapigana wakubwa kwenye ardhi za nchi nyingine. Kama mnafikiri ni vita ya kwenda kuichapa tu Niger kirahisi, mtakua mnajidanganya.

Nigeria ndio wawe makini, wana ishu za boko haramu, ukabila na udini... nchi yao ni kama imemwagiwa petroli na wao wanachezea kiberiti.

Narudia tena wakubwa wanavuana nguo, hii ni vita ya kiuchumi, Russia hatakubali west wapate alternative ya nishati ya bei rahisi, Russia analitaka soko la ulaya waendelee kua tegemezi kwake, ukichanganya na geographical position waliyonayo, rasilimali na nguvu za kijeshi basi huo usupa pawa anauhitaji kwa udi na uvumba. Tusubiri tuone.
 
Umejaza mavi kichwani kale dagaa kisha nyanduana tu huna akili za kufanya analysis....

Au kashinde kwenye thread za kondegang na ushenzi mwingine.
 
Umejaza mavi kichwani kale dagaa kisha nyanduana tu huna akili za kufanya analysis....

Au kashinde kwenye thread za kondegang na ushenzi mwingine.
Hahaaha unawaza mavi? Hahaha nimecheka walahi... anyway kasarika, lia, tukana... lakini huo ndio ukweli... nyakati zimebadilika sana.. wakubwa wanavuana nguo, soon or later utaona nnachokuambia, hongera nimekujibu hii bahati hutoipata tena.
 
Nchi za Africa tutatumiwa sana Kwa faida za watu wa ulaya,! ECOWAS Ni njia inayotumiwa ili waendelee kutetea uraji wa ufaransa, yaani tunapiganishwa wenyewe Kwa wenyewe! Harafu mtu mweusi anafurahia kabisa[emoji41]
Well spoken wengi tunaishia kulaumu mapinduzi bila kuangalia chanzo n nn. Mfaransa kapoteza ulaji wake ndio maana anailazimisha ECOWAS kupeleka jeshi la waafrika kwenda kuwapiga waafrika wenzao kwa manufaa yao
 
Waliopindua nchi ni jeshi la wananchi wa Niger
Wao Nigerians ndio wanahaki yakuamua hatma ya Nchi yao sio ECOWAS
 
Hawa viongozi wanaokua vibaraka wa mataifa ya magharibi ni tatizo sana! Acha wapinduane vizuri ipo siku ile nchi ambayo ina kibaraka wa mataifa ya kiarabu anasaini mikataba kama kichaaa kitamkuta jambo
Ni ndoto nzuri ya kuipeleka kitandani
 
Well spoken wengi tunaishia kulaumu mapinduzi bila kuangalia chanzo n nn. Mfaransa kapoteza ulaji wake ndio maana anailazimisha ECOWAS kupeleka jeshi la waafrika kwenda kuwapiga waafrika wenzao kwa manufaa yao
Saa nyingine tuna ujinga mwingi sana. ECOWAS wameingia kwenye mission zaidi ya mara 4 kuwaondoa viongozi walioingia msdarakani kwa nguvu, mbona wakati huo tusilaumu wazungu? ECOWAS walizembea kwenye mapinduzi ya Mali na Burkinafaso, hata hivyo mapinduzi ya kijeshi kwenye huu ukanda hayawezi kufumbiwa macho. Marais wa nchi za ukanda huu wasipokubali kuingiza jeshi vitani kuwaondoa hawa wahuni, basi wajue nao zamu yao ya kupinduliwa inakaribia.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Hayo majeshi yataingilia wapi. Mjeda Niger kashafunga anga lake. Ingia at your own risk
 
Katika hizo mission ngapi walifanikiwa hao wanaoitwa ECOWAS?
 
Kuna njia moja tu kuepusha mapinduzi,ni hao viongozi kuwa wazalendo kwa nchi zao na kuacha kuwa vibaraka wa mataifa mengine yaliyoendelea!
Huko Niger,wananchi wanasupport mapinduzi!Sasa hao ECOWAS ni nani mpaka wawe kinyume na matakwa ya wananchi?
Myanmar huko jeshi lilimpindua Rais na limemsweka jela toka 2021!Mapinduzi hayo hayajaungwa mkono na raia na raia wanauwawa!US na vibaraka wao si waende huko kuvamia kijeshi?Why Niger?Wanaangalia maslahi yao!
Ona hapa rais wa France anasema nini juu ya maslahi yake Niger!

French President Emmanuel Macron said France will respond “immediately” to any violence against French interests in Niger following the coup in the African country.

The French government “will not tolerate any attack on France and its interests” in Niger, Macron said on Sunday, according to media reports.

Macron’s comments were in response to thousands of people demonstrating in front of the French embassy in Niamey, the capital of Niger. According to media reports, the crowds in front of the French embassy were shouting “Long live Putin” and “Down with France.”
 
Hawa viongozi wanaokua vibaraka wa mataifa ya magharibi ni tatizo sana! Acha wapinduane vizuri ipo siku ile nchi ambayo ina kibaraka wa mataifa ya kiarabu anasaini mikataba kama kichaaa kitamkuta jambo
Hahahaaaa
 
Kipi kinakufanya useme Urusi ataisaida Niger ? Waafrika hatujielew kbs unatoka kwa bwana wa kwanza mweny kibamia unaenda kumkubali wa pili ukiamin atakunyandua vzr kisa amekutongoza na sio kisa umefuatilia show zake , Iman tunaitumia vby sn watu weusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…