ECOWAS troop meet no resistance

ECOWAS troop meet no resistance

Ninachokiona baada ya hili sekeseke la Gambia mzungu atapiga hela hatari kwa kuwauzia marais wababe silaha kali ili wajitayarishe kupambane wanapong'olewa madarakani kwa staili ya ECOWAS.
 
Tofautisha haya mambo. Museven tume ilimtangaza ndo mshindi wakati Gambia aliyetangazwa mshindi ni mwingine na aliyeng'ang'ania madaraka ni mwingine. Kuna utofauti mkubwa kati ya hao wawili, Museven akifanya alichofanya huyo wa Gambia ndo tunaweza hoji uhalali au double standard.

Pia, kumbuka wanaofanya hiyo OPERATION ni ECOWAS sasa huku kwetu ikitokea hivyo inabidi EAC ijiongeze, swali EAC inaweza?
EAC haiwezi haya kwa sababu zifuatazo;-
1. Viongozi wote hawana political legitimacy- naweza sema wapo pale kwa njia haramu kwa baadhi yao kama so wote.
2. Unafiki wa EAC -Members.
3. Hawajiamini kijeshi![emoji57] [emoji57]

Cc; Tume za Uchaguzi ni wahaini kwa baadhi kama so nchi zote!
 
I beg to differ mbona mwanzo alisema atamlinda kwa gharama yeyote ile!!!

Katengua kauli yake. Kagundua kuwa kuingiza nchi machafukoni kuna gharama kubwa. Mbona hata Yahya Jammeh awali alikubali matokeo baadaye akatengua kauli na kuyakataa?
 
Katengua kauli yake. Kagundua kuwa kuingiza nchi machafukoni kuna gharama kubwa. Mbona hata Yahya Jammeh awali alikubali matokeo baadaye akatengua kauli na kuyakataa?
Nasikia keshakimbia nchi
 
Aisee ingekua ETHIOPIA wangeishia kutumia diplomasia tu la sivyo zingepigwa mpk tone la mwisho.
Wahabeshi ni wababe wa Afrika ukitoa RSA na Egypt, wana wanajeshi utitiri na technology za kisasa
 
Kumuonea tu. Ingekuwa Mohammed Buhari wa Nigeria amekatalia madarakani ECOWAS wangevamia Nigeria? Huku Afrika Mashariki kuna mwamba kama Museveni, mnaweza kumvamia?
Lini Museveni amekatalia madarakani halafu ECOMOG haiko EAC
 
Kumuonea tu. Ingekuwa Mohammed Buhari wa Nigeria amekatalia madarakani ECOWAS wangevamia Nigeria? Huku Afrika Mashariki kuna mwamba kama Museveni, mnaweza kumvamia?
Wanamuonea VP ? Uchaguzi huru umefanyika NA akashindwa....nzur zaid akampigia simu mpinzan wake NA kumpongeza kwa kushinda live kwwnye runinga....Leo anagoma kuondoka madarakan....uonevu uko wapi hapo....Wakat mwingine emu shughulishen akili zenu kidgo Kufikir unless u ar using ur buttocks to think .
 
Angalia Aljezeera, BBc utapata ukweli
Mimi sipingi kuwa kasema hilo liko wazi napinga kumpa ushujaa, alikosea mwanzo ingawa kuna mkuu katoa sababu za yeye kusema hivyo wakati ule
 
Back
Top Bottom