Nami naangalia mbona sijaona mkuu.Naangalia Aljazeera taarifa ni kuwa majeshi ya washirika hayajapata upinzani wowote kutoka majeshi ya dikiteita Jammey
Nami naangalia mbona sijaona mkuu.
Nami naangalia mbona sijaona mkuu.
Angalia aljazeera- matangazo yanayopita chini utaona-Kwani uvamizi umeanza?
Asante wengina nimeweka walikuwa hawaamini
Tofautisha haya mambo. Museven tume ilimtangaza ndo mshindi wakati Gambia aliyetangazwa mshindi ni mwingine na aliyeng'ang'ania madaraka ni mwingine. Kuna utofauti mkubwa kati ya hao wawili, Museven akifanya alichofanya huyo wa Gambia ndo tunaweza hoji uhalali au double standard.Kumuonea tu. Ingekuwa Mohammed Buhari wa Nigeria amekatalia madarakani ECOWAS wangevamia Nigeria? Huku Afrika Mashariki kuna mwamba kama Museveni, mnaweza kumvamia?
Angalia footnote!
So pointi yako hapa ni nini?Kumuonea tu. Ingekuwa Mohammed Buhari wa Nigeria amekatalia madarakani ECOWAS wangevamia Nigeria? Huku Afrika Mashariki kuna mwamba kama Museveni, mnaweza kumvamia?
Hapana, wote madikiteita hawaweziTofautisha haya mambo. Museven tume ilimtangaza ndo mshindi wakati Gambia aliyetangazwa mshindi ni mwingine na aliyeng'ang'ania madaraka ni mwingine. Kuna utofauti mkubwa kati ya hao wawili, Museven akifanya alichofanya huyo wa Gambia ndo tunaweza hoji uhalali au double standard.
Pia, kumbuka wanaofanya hiyo OPERATION ni ECOWAS sasa huku kwetu ikitokea hivyo inabidi EAC ijiongeze, swali EAC inaweza?
Sidhani kama alikuwa na choice. Majeshi yake yangezidiwa hata na kikosi Kimoja cha Tanzania.Huyu mkuu wa majeshi wa Gambia ana akili kubwa sana na atakumbukwa daima ni wachache wa namna hii Afrika nzima