Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,513
- 167,171
Huyo apostle kapewa utume na mzee was upako?Mathayo : Mlango 26
26 Nao walipokuwa wakila Yesu alitwaa mkate, akabariki, akaumega, akawapa wanafunzi wake, akasema, Twaeni, mle; huu ndio mwili wangu
Marko : Mlango 14
22 Nao walipokuwa wakila, alitwaa mkate, akabariki, akaumega, akawapa, akasema, Twaeni; huu ndio mwili wangu.
Kutakuwa Na ibada ya kula nyama siku ya Ijumaa Kuu kwenye kanisa la ECG Makongo Juu linalo ongozwa Na Chief Apostle Mtalemwa Deonis.
Wote mnakaribishwa.
Bujibuji nitakuwepo kusonsomola misosi, tena Kitimoto ndio ijiandae kabisa kuandika maumivu.
Don't dare to miss
Mwenye upako ni Mungu tu.Huyo apostle kapewa utume na mzee was upako?
Mwenye upako ni Mungu tu.Huyo apostle kapewa utume na mzee was upako?
Siku za ajabu unaogopa nini? Mi nikisikia nyama sijui nakuwaje? Najihisi nina nyota ya fisiMmmmh kula nyama? Siji
Utakuja kulisikia vyema siku yakitokea ya mfano wa yale ya KibwetereSijawahi kulisikia hilo kanisa
ECG wanatunza petrol kanisani?Utakuja kulisikia vyema siku yakitokea ya mfano wa yale ya Kibwetere
Kwa hiyo hawamuhubiri Yesu?Ninachoshindwa kuwaelewa ECG ni mda mwingi kutumia kusema i receive, kila mtume akiongea nao wanapokea i receive, na wanamwomba Mungu wa major one, sasa sijui kwa nini mnashindwa kumuomba Yesu kristo wa nazareth? Mnaomba kwa jina la Mungu wa major??
Kweli kabisa ulikuwa sii muoaji. VP Bado upo upo hadi lini?Hahah,hilo kanisa siwez lisahau mkuu,..nilipeperushiwa ndege wangu hiv hiv......wanahuduma ya kutabiri na maono bas dem wangu aliambiwa mim si muoaji na ikiwezekana aachane namim,..hahaah,au la niende hapo church nkaombewe,hahah,mim ni RC dam dam siwez kubal dram hyo...makanisa haya yana maigizo sana ukuhudhuria,dem huyo alinishawish mara 2,ila kwa style ile ya mahubir na huduma,nkamwona mtalemwa mjasiriamali mwenzangu tuu,skwenda teeena,..ila magar yanayopak pale ni balaa,kuna watoto balaa na watu maaruf.
Hyo I RECEIVE na kupigia magot pastor ndo iliniacha hoi
Bora na ww umeona hilo...huku wanamuita huyo nabii wao baba...Ninachoshindwa kuwaelewa ECG ni mda mwingi kutumia kusema i receive, kila mtume akiongea nao wanapokea i receive, na wanamwomba Mungu wa major one, sasa sijui kwa nini mnashindwa kumuomba Yesu kristo wa nazareth? Mnaomba kwa jina la Mungu wa major??