Tafuta wa kutoaka naye!! Taratibu anza kupunguza mawasiliano naye, utagundua harakati zake mapema zaidi.
na mimi ulivyonichakaza utanilipa nini?
Kwanini ukubali kuchakazwa halafu tena uanze mapozi?na mimi ulivyonichakaza utanilipa nini?
na mimi ulivyonichakaza utanilipa nini?
Ebwana mambo vp
Unapohic mpenzi wako haeleweki na unampenda kwa dhati nivizuri kujitoa mapema kwa kummwaga ama kujikaza kusubili kumwagwa ila mpenzi wako bado unampenda zaidi.
Naombeni ushauri!!
Keshakuelewa mkuu, wananiboa sana!! siyo wabunifu kabisa, chipsi kuku sijui nini hawasikii wala hawaambiwi huku tumbo hiloooooooo. BadilikeniNa mimi ulivyonichuna nimebaki broke utanirudishia? Kama raha wote tumepata!! Kuchakaa kwa M/Ke hakutokani na Kufanya sana mapenzi na m/me bali kujitunza kujikeep fresh errday!! Mbona Beyonce na kina JLo ,kyle minogue,madona hawajachakaa? Ebu mcheki Monica Arnold ana watoto watatu lakini mtoto mrito bado mbichiii yani mteketeke lainiiiii softiiii hana hata chunusi tumbo flat utafikiri hajazaa,mademu wa kwetu hakishazidi 23 tu na akaendekeza kulakula tu na madawa yao ya uzazi yani anafutuka hadi shape yote inatoka anakua kama puto samahani lakini,
Uache mapozi, ukiacha mbona nitajua tu kuwa mabebi ananipenda pia, lakini siyo kila saa unasumbua pengine nimechoka na dili zangu za shamba au town. Hapa Inahitaji ubunifu zaidi, hata hivyo girls < 26 years old wengi wasumbufu, you are too demanding gal.na mimi ulivyonichakaza utanilipa nini?
yani anafutuka hadi shape yote inatoka anakua kama puto samahani lakini,
na mimi ulivyonichuna nimebaki broke utanirudishia? Kama raha wote tumepata!! Kuchakaa kwa m/ke hakutokani na kufanya sana mapenzi na m/me bali kujitunza kujikeep fresh errday!! Mbona beyonce na kina jlo ,kyle minogue,madona hawajachakaa? Ebu mcheki monica arnold ana watoto watatu lakini mtoto mrito bado mbichiii yani mteketeke lainiiiii softiiii hana hata chunusi tumbo flat utafikiri hajazaa,mademu wa kwetu hakishazidi 23 tu na akaendekeza kulakula tu na madawa yao ya uzazi yani anafutuka hadi shape yote inatoka anakua kama puto samahani lakini,
na mimi ulivyonichakaza utanilipa nini?
Nikulipe nn wakati ww unaniletea mapozi,tamaa mbele hueleweki hutaki kutulizana!!!na mimi ulivyonichakaza utanilipa nini?
Keshakuelewa mkuu, wananiboa sana!! siyo wabunifu kabisa, chipsi kuku sijui nini hawasikii wala hawaambiwi huku tumbo hiloooooooo. Badilikeni
Omba Radhi Kwa Mara Ya Pili Mkuu!
bila samahani watakua wameelewa tuh
Mwana FA aliagiza tafuta na wewe mnyonge wako ukerebishe. Pole mwaya.
Mkuu si unajua huwa wanajitengeneza kulingana na soko wasipokuwa hivyo wote kunawengine watakosa sokoItakuwa vizuri sana kama wameelewa